kubembelezwa ni muhimu hasa kwa wanawake, issue ni pale unapokuwa na mtu asiyejua kubembeleza, i mean mtu ambaye hana hisia, mtu ambaye there is nothing that moves his heart.........utajuta.
usipo bembeleza na yeye anaacha kubembeleza ................na mwanamme hawezi kuishi bila ya kubembelezwa sasa. Asipo bembelezwa anahisi kuna watu wanamsaidia...
Ndo uzuri wa kuwa na wasaidizi yaani hupati shida kabisaaaaa lol
ucjali nishamuona niko naye hapa namwandalia ugali na mchicha kwa ajili ya kuboresha macho yake,siku hizi haoini vizuri nahisi.
thanks kwa taarifa hizo muhimu.
naona swahiba anaona bora akustiri :tonguez:
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah
By Barnaba THT.
Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?
Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:
Ukinuna unaulizwa hivi wewe bi Kiboga --nini kimekufanya unune?:couch2:
:redfaces::redfaces::A S 109::frown::frown😱kay queen nimekusoma....nani alimpofusha?:d
Loh babu kama nakuona unavyombembeleza Bibi yanguBana mi sibembelezi. Mi naliwaza! Kazi ya kubembeleza ni ya wanawake bana!
Mwanaume anayebembeleza ni limbukeni! Mwanaume analiwaza tu, habembelezi!
Baba mtu wewe umenenaPendo mpende Rabuka
unajua tunapomuongelea huyu mtu huwa inanilazimu kutumia hekima aliyoniridhisha bibi.
hivyo nipe muda nitatoa jibu zuri baadae,:llama:
Wewe Rose!!! umewahi ona mtu anabembeleza kabla ya kumega?
Kuna jamaa angu huwa anabembeleza mpaka analia machozi dah
Fidel, mi nimeona mtu anabembeleza kabla na baada ya kumega.
Asprini, huwa nakuwa macho uchiUkiwa umevaa mawani au macho uchi?
Asprini, huwa nakuwa macho uchi
sasa ushauri wako haujakamilika,mawani ya jua au ya kutibu macho?ili nijue navaa ipiJaribu kuvaa mawani siku moja. Afu uje unambie umeona nini.
sasa ushauri wako haujakamilika,mawani ya jua au ya kutibu macho?ili nijue navaa ipi