Jamani...Nauliza tu

Jamani...Nauliza tu

kubembelezwa ni muhimu hasa kwa wanawake, issue ni pale unapokuwa na mtu asiyejua kubembeleza, i mean mtu ambaye hana hisia, mtu ambaye there is nothing that moves his heart.........utajuta.

pata picha asiejua kubembeleza anapokutana na asiebembelezeka!!!!!!!!!
 
usipo bembeleza na yeye anaacha kubembeleza ................na mwanamme hawezi kuishi bila ya kubembelezwa sasa. Asipo bembelezwa anahisi kuna watu wanamsaidia...

Bana mi sibembelezi. Mi naliwaza! Kazi ya kubembeleza ni ya wanawake bana!
 
ucjali nishamuona niko naye hapa namwandalia ugali na mchicha kwa ajili ya kuboresha macho yake,siku hizi haoini vizuri nahisi.
thanks kwa taarifa hizo muhimu.

:redfaces::redfaces::A S 109::frown::frown😱kay queen nimekusoma....nani alimpofusha?:d
 
:redfaces::redfaces::A S 109::frown::frown😱kay queen nimekusoma....nani alimpofusha?:d
Ukiongea point, kazi yangu ni moja tu!





The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo

Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah

By Barnaba THT.

Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?

Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:

Pendo mpende Rabuka
 
:redfaces::redfaces::A S 109::frown::frown😱kay queen nimekusoma....nani alimpofusha?:d

unajua tunapomuongelea huyu mtu huwa inanilazimu kutumia hekima aliyoniridhisha bibi.
hivyo nipe muda nitatoa jibu zuri baadae,:llama:
 
unajua tunapomuongelea huyu mtu huwa inanilazimu kutumia hekima aliyoniridhisha bibi.
hivyo nipe muda nitatoa jibu zuri baadae,:llama:


Mimi bwana, leo kazi yangu ni kuzitendea haki yuziful posti kama hii



The Following User Says Thank You to queenkami For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Wewe Rose!!! umewahi ona mtu anabembeleza kabla ya kumega?

Kuna jamaa angu huwa anabembeleza mpaka analia machozi dah

Fidel, mi nimeona mtu anabembeleza kabla na baada ya kumega.
 
Mj1,
Mapenzi ni two way traffic,wote kubembelezana wote kuliwazana though mara nyingi usanii huchukua nafasi.
 
sasa ushauri wako haujakamilika,mawani ya jua au ya kutibu macho?ili nijue navaa ipi

Ya macho, ili uone kama utashuhudia mwanaume anabembeleza kabla na baada ya kumega!
 
Back
Top Bottom