WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Njoo huku kuna supu ya swala:dance:Sijui nitapata wapi supu au sijui nizimue tu niendele mimi nilijua leo ni jumamosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo huku kuna supu ya swala:dance:Sijui nitapata wapi supu au sijui nizimue tu niendele mimi nilijua leo ni jumamosi
tongoza gani hii ya kizamani hivyo jamani, kijana nione nikupatie mitongozo mpya ucnitie aibu.
Usisahau kuni PM hiyo kozi naona na mimi kama nazeeka vile!tongoza gani hii ya kizamani hivyo jamani, kijana nione nikupatie mitongozo mpya ucnitie aibu.
Raia, mi naona umwache tu huyu mtu sasa.....ingawa najua ni vigumu kiaina....
The Finest niingie mitini mie gari la mlevi jamani?
Wala nipo ni huyu mkoloni kijana hapa kanishika pabaya wallah nadhani kanishtukia nilitaka kuichakachua ijumaa niipeleke masaa mbele!!! (haya sasa nimekupa la kusema)
Mkoloni eti Babu hapendi.Mwambie mkoloni eti babu hapendi!
Yesu kristu mwalimuThe Finest niingie mitini mie gari la mlevi jamani?
Wala nipo ni huyu mkoloni kijana hapa kanishika pabaya wallah nadhani kanishtukia nilitaka kuichakachua ijumaa niipeleke masaa mbele!!! (haya sasa nimekupa la kusema)
Ombi lako limesikilizwa na kutekelezwa!
Kamanda, rest assured kwamba una simulizi tamu...@ Acid............ Rejea swali kamanda sijasema nabembelezwa mie nimeuliza wapo wanaobembelezwa kiukwelii? Mie bahati hiyo sijaipata bado (Tatizo la kuchelewa kuzaliwa pengine ningekuwa nimekula chumvi za kutosha ningekuwa na simulizi tamu lol)
Mpwa nguvu za kucheki out nnazo basi zile castle za jana balaa! Muhudumu wa hi guest anansumbua nitoke! Nimemwambia anze usafi vyumba vingine bana!
@ Acid............ Rejea swali kamanda sijasema nabembelezwa mie nimeuliza wapo wanaobembelezwa kiukwelii? Mie bahati hiyo sijaipata bado (Tatizo la kuchelewa kuzaliwa pengine ningekuwa nimekula chumvi za kutosha ningekuwa na simulizi tamu lol)
tongoza gani hii ya kizamani hivyo jamani, kijana nione nikupatie mitongozo mpya ucnitie aibu.
Jana ndo ukanifanya nini?
The Finest niingie mitini mie gari la mlevi jamani?
Wala nipo ni huyu mkoloni kijana hapa kanishika pabaya wallah nadhani kanishtukia nilitaka kuichakachua ijumaa niipeleke masaa mbele!!! (haya sasa nimekupa la kusema)
Mh ngoja nikae kimya tu maana huyu homeboy wangu huyu,,,,Jana ndo ukanifanya nini?
We unajua ubaya ulontenda, na gharama ya gesti lazima unilipe!
Mh ngoja nikae kimya tu maana huyu homeboy wangu huyu,,,,