bado hakuna taarifa za wazi lakini ni lazima awe mzanzibar mwanamke kwa mujibu wa zile kanuni walizotunga. mimi binafsi yangu naona haijakaa vizuri maana wazanzibari wanalazimishwa kuweka mwanamke hata kama hawataki.