CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Nov 12, 2013 #61 Slave said: Naumwa Sana ni typhoid sugu Baba V na wana cc wote naombeni dua zenu Click to expand... Get well soon my shem!
Slave said: Naumwa Sana ni typhoid sugu Baba V na wana cc wote naombeni dua zenu Click to expand... Get well soon my shem!
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Nov 12, 2013 #62 ilikuwa ni jokes best usijali ila pole sana mkuu umeshapona umefuata maelekezo ya madaktari walivyokwambia mkuu? karibu jamvini kwenye vioja na vituko hivi una habari kuwa BAK amepewa :ban: Slave said: hizo sehemu huwa naingia huku nimevaa glove na mask. Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ilikuwa ni jokes best usijali ila pole sana mkuu umeshapona umefuata maelekezo ya madaktari walivyokwambia mkuu? karibu jamvini kwenye vioja na vituko hivi una habari kuwa BAK amepewa :ban: Slave said: hizo sehemu huwa naingia huku nimevaa glove na mask. Click to expand...
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Nov 13, 2013 #63 Slave said: kweli kaka Arushaone ninamatumaini makubwa Click to expand... Slave unaendeleaje? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #64 Arushaone said: Slave unaendeleaje? Click to expand... Hivi salsa ni SAA 05:45 am natoka kuoga nahisi afya ni njema Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Arushaone said: Slave unaendeleaje? Click to expand... Hivi salsa ni SAA 05:45 am natoka kuoga nahisi afya ni njema
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #65 charminglady said: Get well soon my shem! Click to expand... Asante dear Nahisi afya inarejea sasa:smile-big:[JFMP3][/JFMP3]
charminglady said: Get well soon my shem! Click to expand... Asante dear Nahisi afya inarejea sasa:smile-big:[JFMP3][/JFMP3]
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #66 Asante mungu kwa kusikia maombi ya wanna cc kwa sasa naendelea vizuri
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Nov 14, 2013 #67 Wifi amekusugua mgongo vizuri? Pole sana kaka. Hivi na Inkoskaz alikuwa mgonjwa. Sijui anaendeleaje. Slave said: Hivi salsa ni SAA 05:45 am natoka kuoga nahisi afya ni njema Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wifi amekusugua mgongo vizuri? Pole sana kaka. Hivi na Inkoskaz alikuwa mgonjwa. Sijui anaendeleaje. Slave said: Hivi salsa ni SAA 05:45 am natoka kuoga nahisi afya ni njema Click to expand...
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Nov 14, 2013 #68 Slave unaendeleaje ....? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Nov 14, 2013 #69 Slave said: Hivi salsa ni SAA 05:45 am natoka kuoga nahisi afya ni njema Click to expand... Mgonjwa Unaenda wapi asubuhi asubuhi hii ..?
Slave said: Hivi salsa ni SAA 05:45 am natoka kuoga nahisi afya ni njema Click to expand... Mgonjwa Unaenda wapi asubuhi asubuhi hii ..?
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #70 King'asti said: Wifi amekusugua mgongo vizuri? Pole sana kaka. Hivi na Inkoskaz alikuwa mgonjwa. Sijui anaendeleaje. Click to expand... hhaahahaha !! na wewe nae kutaka yalojiri kwa kaka yako tu.
King'asti said: Wifi amekusugua mgongo vizuri? Pole sana kaka. Hivi na Inkoskaz alikuwa mgonjwa. Sijui anaendeleaje. Click to expand... hhaahahaha !! na wewe nae kutaka yalojiri kwa kaka yako tu.
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #71 kabanga said: Mgonjwa Unaenda wapi asubuhi asubuhi hii ..? Click to expand... wataalam wanaamini kuwa maji ya asubuhi tena yale baridi ni dawa mkuu.
kabanga said: Mgonjwa Unaenda wapi asubuhi asubuhi hii ..? Click to expand... wataalam wanaamini kuwa maji ya asubuhi tena yale baridi ni dawa mkuu.
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #72 kabanga said: Slave unaendeleaje ....? Click to expand... kaka mkubwa namshukuru mungu sasa sijambo japo harufu ya dawa inanitesa.
kabanga said: Slave unaendeleaje ....? Click to expand... kaka mkubwa namshukuru mungu sasa sijambo japo harufu ya dawa inanitesa.
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #73 Arushaone said: Slave unaendeleaje? Click to expand... nashukuru afya inatengamaa sasa.
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Nov 14, 2013 #74 King'asti said: Wifi amekusugua mgongo vizuri? Pole sana kaka. Hivi na Inkoskaz alikuwa mgonjwa. Sijui anaendeleaje. Click to expand... King'asti mfikishie Slave pole nyingi Inkoskaz bado yupo kitandani nyUmbani Anaendelea na home nursing Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
King'asti said: Wifi amekusugua mgongo vizuri? Pole sana kaka. Hivi na Inkoskaz alikuwa mgonjwa. Sijui anaendeleaje. Click to expand... King'asti mfikishie Slave pole nyingi Inkoskaz bado yupo kitandani nyUmbani Anaendelea na home nursing
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Nov 14, 2013 Thread starter #75 Inkoskaz said: King'asti mfikishie Slave pole nyingi Inkoskaz bado yupo kitandani nyUmbani Anaendelea na home nursing Click to expand... pole sana mgonjwa mwenzanu Inkoskaz mie leo nagalau nimetoka toka out Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Inkoskaz said: King'asti mfikishie Slave pole nyingi Inkoskaz bado yupo kitandani nyUmbani Anaendelea na home nursing Click to expand... pole sana mgonjwa mwenzanu Inkoskaz mie leo nagalau nimetoka toka out