humu kuna watu na viatu.......akili zenu ni sawa na za babu slaa + nape,,,jamaa anataka kuuza nyumba mnajifanya mnatoa ushauri kwani yy ni mpumbavu?nyumba kajenga kwa hiari yke na anauza kwa mapenz yke....
cha maana km kuna mteja akaicheki atoe mpunga jamaa akale POMBE