Jamani nauza nyumba yangu nifanye biashara

Jamani nauza nyumba yangu nifanye biashara

jamani mbona nazidi kuchanganyikiwa sasa? ina maana informal operation ya microfinance hauitaji kusajili kwenye mamlaka yeyote? naombeni ufafanuzi kidogo hapo!
 
humu kuna watu na viatu.......akili zenu ni sawa na za babu slaa + nape,,,jamaa anataka kuuza nyumba mnajifanya mnatoa ushauri kwani yy ni mpumbavu?nyumba kajenga kwa hiari yke na anauza kwa mapenz yke....

cha maana km kuna mteja akaicheki atoe mpunga jamaa akale POMBE
 
Back
Top Bottom