Jamani ndiyo sipati hata kazi ya House Boy au gargeni?

Jamani ndiyo sipati hata kazi ya House Boy au gargeni?

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
Habari za mida,

jamani mwenye moyo wa msaada waeza okoa jahazi japo pate hata hela ya kula takushukuru pia.

Umri: 22
Location: Mbezi- DSM
Edc: Form6
Ujuzi: Cmputer
Vipawa:sanaa
contact:+255625544723

#Nishike mkono
 
Kama huyo wa kwenye dp ni wewe basi sahau kazi yeyote nyumbani kwa mtu.

Wewe utakuwa na kazi ya kujilamba midomo na kurembua macho ukimuona mama mwenye nyumba na watoto wa kike.

Nina hakika kwenye hiyo picha hapo chini ulikuwa umevaa yeboyebo na socks.

1725039522172.png
 
Fazza ndiyo jina la Crown Prince of Dubai.( the one with a hundred cars in his garage).
Pole sana,unatafuta kazi?
Mi naitafuta mfanyakazi,lakini awe half your age,pia awe demu.
At my age,every little task is a torture.
Lakini it is so difficult to get a servant because some people think they should dictators and they must decide everything that other people can or cannot do
Nilitaka kuwasiliana na watoto,wasichana walio boarding school,I have to talk to them through their teacher.
Halafu yule mwalimu akataka kuniibia hela.
There is so much disgusting dictatorship all across the country.
Sijui tumefikaje hapa .
Labda ni baada ya Magufuli kuwa dictator watu wamekuwa machizi all across the country.
Huu udikteta utawatokea watu puani.
Imekuwa sasa we have to ask for permission to go to the bathroom to pee .
 
Dogo kwa harakaharaka unaonekana bishoo mlamba midomo tena mvaa ear phone muda wote usiyeshaurika na yeyote.

Sasa kama kweli unashida ya kazi nenda maeneo ya buguruni kuna magereji mengi na karakana za kutosha kajaribu maeneo hayo kuomba kazi hutokosa.
 
Dah sawa tu ndugu haya macho sikosoi uumbaji wa mungu
amina
Kama huyo wa kwenye dp ni wewe basi sahau kazi yeyote nyumbani kwa mtu.

Wewe utakuwa na kazi ya kujilamba midomo na kurembua macho ukimuona mama mwenye nyumba na watoto wa kike.

Nina hakika kwenye hiyo picha hapo chini ulikuwa umevaa yeboyebo na socks.

View attachment 3083016
 
Back
Top Bottom