Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi


Hizo zote ni simu mpya???
 
Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.

Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.

Karibuni;;;;;;;
SAMSUNG Mlimani City. Uko wapi?
 
Ngoja tuu nikabadili kioo sio kwa bei hizo...hyo A35 ndo imekua hivyo...
 
Bongo simu pekee ambayo unaweza amini kwa aslimia 90% imekuja na box NI Tecno,itel na infinix izo zengine ujanja mwingi
 
Bongo simu pekee ambayo unaweza amini kwa aslimia 90% imekuja na box NI Tecno,itel na infinix izo zengine ujanja mwingi
hata infinix na tecno ziko copy mkuu, haswa haya matoleo ya kuanzia 2023. Hizi ziko kwa wale jamaa wenye vikabati vya kioo kule kkoo haswa karibu na maduka ya jumla ya simu. Ingia mtaa wa masasi ndani...
 
winga wewe, yani s8 tena ina dot uuze 300k bei ya s10
 
Wewe unazjngumzia ambazo hazipo kwenye mabox ambazo hizo ndio unaweza kufanya hayo uliyoyaeleza. Mimi naongelea simu ambazo bado zipo kwenye mabox bado sio original.
 
Zanzibar wana electronic devices nzuri kuliko hata huku bara
Kule unakuta bidhaa inatoka UK,CANADA,USA nk

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…