jamani ni lini matokeo ya walio apply chuo yanatoka ???

whiteseeds

New Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3
Reaction score
0
hellow , mimi kuna kitu kina nitatiza sana maana kila siku kuna sababu zinatoka kuhusu hawa tcu, nahitaji jua nilini wanafunzi walio apply kujiunga na chuo watapata matokeo yao maana inakera . imekuwa mda mrefu sana bila kujua ni nini kilichopo..
 
hizi mada haziishagi ,vuta subira mkuu mbona matokeo ya six yalitoka yamechelewa na ulisubii
 
pole whiteseeds yatatoka tu around this week, si unaona server yao wameshaifunga wanaupload tu mavituzi
 
Siku yaki toka ndio tutakapo jua kuwa airtel yatosha au laah!
 
mwaka jana yalitoka kuanzia,tar 25/8-4/9..kaa huko utafute ada kwanza chuo kwnyewe majanga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…