Jamani ni maajabu ya nzi

Jamani ni maajabu ya nzi

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Eti....?? Naomba kuuliza inzi huwa wanalalaga wapi baada ya kiza kuingia?.
 
Eti....?? Naomba kuuliza inzi huwa wanalalaga wapi baada ya kiza kuingia?.
Una taka uwa wekee neti
naijatwittersavages-20181113-0001.jpeg
 
Inzi ni nyoko unaeza ingia msituni ndani ndani kabisa huko umbali zaidi ya km 500 kutoka kwenye makazi ya watu ukanya/Kunya/kukata gogo ila cha ajabu ndani ya dakika sifuri mavi yote yamezingirwa na nzi
 
samahani lakini ...wewe ni me au Ke?
Kwani unatafuta mume? Siufungue uzi wako kuliko kudandia kwenye uzi wa mwenzako.

Mimi tayari nina mke asee sistaa hivyo labda ufungue uzi tu wanaume wapo wengi JF hawajaoa bado.
 
Back
Top Bottom