Eunice selin
Senior Member
- Jun 28, 2026
- 109
- 267
Jamani ni Mimi tu sipati Kazi ama kila kitu ni connection , mwenye kazi aniajiri wajameni 🙈🤲🤲
Sio kazi tuu hata nanilii haiombwagi kirahisi hivyo....Kwanini usingeongeza kitu kama umri,jinsia,taaluma yako na vingine vingi vinavyohusiana na unachoomba
Ni kweli ajira ni ngumu lakini sidhani kama kazi inaombwa hivi
Sio kazi tuu hata nanilii haiombwagi kirahisi hivyo....
Dah aise😁Kuna kazi ya kutembeza barafu, mshahara laki 5
Omba mkuu, nafasi ni chacheDah aise😁
Mpeni connection!
Ana kitumburaUna nini cha ku offer?