huo mstari wa mwisho ni signature yako au?
anthem ya kina ruuuugee, wazee wa fuuursa.Huo mstari wa mwisho ni signature yako au?
hii niliskiaga kitambo sana lakini ckuwahi kufanyia utafit..sasa itabidi nitenge muda niifanyie research hii kitu..Tafuta ndevu za mahindi awe anachemsha na kunywa maji yake hii itamsaidia
Wana JF me ni mtoto wa kwanza familia ya watoto 5 ila nina ndugu yangu nikikojozi huu mwaka wa 20 .msaada wa mawazo na dawa ili tuondoe tatizo ili
hello tanzania kuwa mzalendo sambaza upendo.