JAMANI NI SAIDIE(Ndungu yangu kikojozi mwaka wa ishilini sasa)

JAMANI NI SAIDIE(Ndungu yangu kikojozi mwaka wa ishilini sasa)

KABILIZI

Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
29
Reaction score
3
Wana JF me ni mtoto wa kwanza familia ya watoto 5 ila nina ndugu yangu nikikojozi huu mwaka wa 20 .msaada wa mawazo na dawa ili tuondoe tatizo ili
€ hello tanzania kuwa mzalendo sambaza upendo.
 
nenda muhimbili kuna idara ya tiba za asili kwa wachina watakusaidia sio ghali sana...
 
Huo mstari wa mwisho ni signature yako au?
 
Wana JF me ni mtoto wa kwanza familia ya watoto 5 ila nina ndugu yangu nikikojozi huu mwaka wa 20 .msaada wa mawazo na dawa ili tuondoe tatizo ili
€ hello tanzania kuwa mzalendo sambaza upendo.

anipigie nimpe maelekezo 0757493382
 
tafuta habari kuhusu amitriptyline na jinsi inatibu ukikojozi. pia muwe mnamuwekea alarm hii itamsaidia kumkurupusha na mwisho anaaazoea.
 
Back
Top Bottom