Jamani ni saidieni kwa hili

lukunij

Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
36
Reaction score
7
Ni muda mrefu tu natafuta mchumba lkn sijampata ambaye nilikuwa namuhitaji sasa najiuliza je? nikisema nimuowe yeyote tu sitapata taabu hapo mbele ya safari au nifanye nini? maana nina hamu kwelikweli ya kuingia kwenye mahusiano ya mke na mume nilijaribu kutumia hiyi blog ckumpata so nisaidie kwa ushauri nifanye nini???????
 
Hii sio blog, hii ni website.
Wewe ni mwanaume au mwanamke?
 
Usikate tamaa ndugu yangu,Mungu wetu kamuumbia kila mmoja ubavu wake,endelea kumuomba yeye na kumtumainia na ipo siku atakupa mwenzi wako wa maisha.ndoa sio kitu cha kuharakia,ndoa sio kamari useme unabahatisha,ndoa sio nyumba useme ukikosea utajenga upya(wakristo),buy more time bro ktk kumuomba Mungu kwani mke mwema hutoka kwake.
 
Ebwana una umri gani kwanza?
Na umesema una hamu sana ya kuingia kwenye mahusiano?
Hebu jielezeee kwanza tuone tunakusaidiaje?
 
Hii sio blog, hii ni website.
Wewe ni mwanaume au mwanamke?
kwani kwa mila za watazania mwanamke anaweza kumuoa mwanaume au anaolewa na mwanaume? mpako hapo tu hujatambua mimi ni wa jinsia gani? mwanaume
 
Ebwana una umri gani kwanza?
Na umesema una hamu sana ya kuingia kwenye mahusiano?
Hebu jielezeee kwanza tuone tunakusaidiaje?
nina miaka 28 but i'm very tired na maisha ya ubachelor
 
Mkuu, hautakiwa ku-rush kwenye mahusiano. Ndoa si kitu cha kusema unaweza kuchukua yeyote ukajaribu halafu ukishindwa mkamwagana, hiyo si suruali au gari la kusema unajaribu then utarudisha, ni taasisi inayojitegemea na kutegemea mapenzi, mahusiano, maelewano, ukaribu, mvuto nk baina yenu wawili. Huwezi kuchukulia kirahisi tu, kuwa kwa kuwa umekosa uoe yeyote, ukishampata je na tayari umekuwa kwenye ndoa utafanyaje? Utaoa mke mwingine?
Nakushauri ni bora usubiri huku unaomba Mungu naamini wakati ukifika utampata yule umpendaye.
 
mke mwema anatoka kwa Mungu,...mwombe Mungu atakupa mke mwema
 
nina miaka 28 but i'm very tired na maisha ya ubachelor

Inawezekana njia unayotumia ku'recruit' wenye vigezo unavyovitaka sio..
Jaribu kuangalia tena kwa nini wanawake unaokutana nao hawameet vigezo vyako..
Isije kuwa unataka kumuoa 'malaika'..
 
Inawezekana njia unayotumia ku'recruit' wenye vigezo unavyovitaka sio..
Jaribu kuangalia tena kwa nini wanawake unaokutana nao hawameet vigezo vyako..
Isije kuwa unataka kumuoa 'malaika'..
hapana japokuwa swala la uzuri lipo lkn sio kwa sana but wana JF now day wanawake hawaeleweki so ni ngumu sana kumpata muelewa na wakati mwingene nafikiria nikichelewa sana sitakuja kuoa tena cos nitazoea na maisha ya ubachelor na hata family yangu nitaipa uzeeni ndio hizo habari za watoo kuja kulelewa na ndugu
 
Ndoa ................Ndoana.....................!!!!
 
kwani kwa mila za watazania mwanamke anaweza kumuoa mwanaume au anaolewa na mwanaume? mpako hapo tu hujatambua mimi ni wa jinsia gani? mwanaume
tatozo siku hizi jinsia zote wanaolewa ndio sababu Mwali kauliza hivyo
 
Last edited by a moderator:
28? mbona bado?
endelea kuvunja mifupa kaka!!!!(kiding)

piga goti na hakikisha unawinda sehemu potential tu!

Isiwe unataka upate mwanza ambae sio mnywaji wa pombe alaf unaenda kutega pale kwenye baa yetu saa tano usiku.
 
ucwe na akili ya kipuuz hivi unadhan kwa mawazo yako hayo hata wanawake wa humu watakuamini,kwanza cio mahala pa kuleta hoja zako,love ni kitu kinachohitaji time and good environment,kuwa na subira la si hivyo utafeli.
 
mkuu which time unaongera it means i'm not grown enough to have marriage?
 
Jaribu kutulia utapata usiwe na haraka ya ndoa! Ndoa si kitu cha kufanya haraka haraka, jaribu kutulia mkuu. Wanawake wapo wengi haujatenga muda wa kutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…