lukunij
Member
- Jul 4, 2012
- 36
- 7
Ni muda mrefu tu natafuta mchumba lkn sijampata ambaye nilikuwa namuhitaji sasa najiuliza je? nikisema nimuowe yeyote tu sitapata taabu hapo mbele ya safari au nifanye nini? maana nina hamu kwelikweli ya kuingia kwenye mahusiano ya mke na mume nilijaribu kutumia hiyi blog ckumpata so nisaidie kwa ushauri nifanye nini???????