KAMUZUBERA
Senior Member
- May 9, 2017
- 194
- 154
Sikumweleza ila naona kama nadhulumiwa maana mda mwingi sipo na wala situmii hizo huduma ....Unalipa gharama ulizosign kwenye contract, kwani ulimweleza landlord kuwa utakuwa unajisaidia bar?
Tatizo kwenye contract haioneshi ivo, afu wengi wanaishi kimazoea!!!Mkuu hebu fanya simple maths jaribu kuEstimate water consumption by percentage on each mpangaji halaf Bill zilipwe according to that %
Hata kwenye umeme pia.
Jukwaa gani mkuuCha kufanya kwanza kabisa peleka uzi wako jukwaa husika huko utasaidika zaidi
kuchachchishUmerogwa au izo pombe zimeanza kuchachchish ubongo wako.,
Itakua ni ki-koromijekuchachchish
Sijaelewa hapo
kuchachchish
Sijaelewa hapo
Wewe ni shida!![emoji1][emoji122] [emoji122] [emoji122]Unalipa gharama ulizosign kwenye contract, kwani ulimweleza landlord kuwa utakuwa unajisaidia bar?
Kwahiyo nilipe kodi ya nyumba na bar pia nilipe[emoji19]Nikuulize huko baa hakuna vyumba vya kulala?
Swala mda mwingi sipo na matumizi ya wanaoshinda hapo ni makubwa mno....kiasi kwamba inapokuja kwenye contribution inakua kiasi kikubwa!!Hamia Bar Ndugu yangu..Hata mimi nisingekuelewa hiyo ishu yako. Kwani umekatazwa kutumia choo hapo ulipopanga?
Kwahiyo wewe akili yako inakutuma kuwa hiyo biliHabari ya kushinda wana JF
Nina shida naombeni msaada! Mimi naishi nyumba ya kupanga na mda mwingi nikitoka kazini naingia maeneo ya kupata moja baridi moja moto. Huduma ya choo na bafu namalizia bar, lakini ikifika muda wa bili za umeme ,maji na taka natakiwa nilipe sawa na wenzangu hiyo hali inanifanya niumie roho sana maana naona ka naonewa vile .... Je nihame nikakae tu guest au nifanyeje wadauuuuu!!!!