Jamani nikisoma EGM Naweza kufanya kazi gani hapo baadae??

Jamani nikisoma EGM Naweza kufanya kazi gani hapo baadae??

Kuna kitabu cha tcu kinaitwa-

tcu admission guidelines book

nenda pale maktaba ya mkoa utakikuta(au download)

hapo utakutana na kozi/fani kibao tu zinazohitaji "egm" sasa wewe utachagua kozi unayoipenda.
Mimi kimensaidia kufanya maamuzi mazuri.

N.b kuna changamoto kwenye soko la ajira..kwaio inabidi usome alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom