Jamani niko njia panda

kuku dume

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
414
Reaction score
62
Wana Jukwaa,

Mimi ndugu yenu napenda kuchukua muda na fursa hii kuwaombeni msaada wa mawazo/ushauri.

Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 22 na bado sijahamua kuingia kwenye ulimwengu wa malavidavi rasmi.

Kuna mambo mawili yanayo nitatiza na kunisononesha.

Kwanza: Mama amekuwa mkali akitaka nioe na eti ni lazima nioe kabla ya mwisho wa mwaka. Hili limekuwa gumu ikizingatiwa kwamba ndiyo kwanza niko katika hatua za awali za elimu ya juu.

Pili: Kuna mtoto wa shangazi yake baba amekuwa akinisumbua sana; huku akisema ananipenda sana na angependa tuwe wapenzi, wachumba na baadae wapenzi. Niko mbali naye na anataka asafiri japo akae na mimi wiki moja kisha arudi.

Mambo hayo tajwa yamenifanya kuwa na mawazo sana.

Naombeni ushauri jamani.
 
miaka 22, bado mdogo kwa kweli.

Mweleweshe mama ili uoe ukiwa tayari kuoa.
Humuolei mtu mwingine, unajiolea mwenyewe, na utaishi naye wewe mwenyewe.
 
Asante kaka Kongosho kwa ushauri wako mzuri. Mndumi Ruwa akuikanie.

Nipo naendelea kupokea shauri zenu na nitafurahi kama mtanishauri.

Nimefikia hatua ya kuhamua kutokwenda nyumbani kwa kuwa mama mkali sana. Niko peke yangu kwenye familia maana baba alifariki akiwa kijana wa miaka 26 huku akiniacha mtoto pekee na at that time i was just 3 years old. Kwa maana hiyo mama anadai nioe ili apate mjukuu.
 
huyo mtoto wa shangazi wa baba unaweza kabisa kumkomesha, kama kweli huna nia naye. Wazazi wana mtazamo wa kale kidogo, jaribu kuwashirikisha wazee wenye busara wanaoifahamu karne hii wamsomeshe maza, atatulia tu.
 
heb waje wanaomfahamu!!!!!
 
Mueleweshe mama kuwa kwa sasa elimu ndio muhimu, wajukuu ni majaliwa. Unaweza oa kwa sasa na mungu asikujalie watoto kama yeye anavyopanga. Ikifika wakati muafaka utaoa.

Huyo mtoto wa shangazi mwambie kama hauna interest na malavidavi na usisikie hakuna mapenzi ya kulazimishana.
 
zungumza na mama mueleweshe, ikishindikana tafuta watu wazima waongee nae.

Kuhusu huyo ndugu yako mweleze msimamo wako, kwamba humtaki na mheshimiane kama ndugu then muepuke.

Kumbuka hayo ni maisha yako, kujenga au kubomoa ni juu yako....
 
Bado mdogo, japo ni vizuri kuheshimu wazazi lakini ni vizuri ku take control of your life sasa. Muda ni sasa wa kuamua uwe na maisha ya namna gani. Kama unakubali mama akuendeshe, utamweza kweli mke?
 
hivi unajua mtoto wa shangazi ya baba ni ndugu yako wewe pia...we kazana kusoma umalize shule totoz zipo za kumwaga zitakuwepo wakati ukishamaliza shule
 
Aisee nimeshtuka kuona kaka kongosho! Saivi anajibadilisha nini? Anyway fuata maamuzi yako kwani ukipenda kuwafurahisha wazazi baadae utalia mwenyewe na kusaga meno
heb waje wanaomfahamu!!!!!
 
tatizo hili jina lako ndio maana hata mama anataka uoe mapema icje ikawa shari mtaani
 
I'm thankful of what you said to me.

I've lent something through your words and i will take your advice into play.

Let me say sory to Wana JF if i used 'kaka kongosho' incorrectly. Again let me say sory.

May God bless you because of your words!
 
Haya, apology accepted. Kaka King'asti anauliza: wewe mchaga wa wapi? Manake saa hizi hata wakwere wanahimiza watoto wao wasome wakawe mapresident nyie mnahimizana kujaza dunia na mnaona kuna scarce resources?
 
Usioe, but jifunze kula totoz kwa kidogoooo!!!!
Ukitaka kuish kiugumu, utatusumbuA baadae!!!
 
Tumia hii mbinu,
Wakati naanza chuo baba alinitaka nioe....
Sikutaka kabisa hii ki2.
Tena nilitafutiwa mke kijijin, kabint kabichi, darasa la saba. Mzee alisema nioe tu naweza kukaacha!!!!

Nikacheza hivi, nilitafuta dem wa chuo tena wa kabila letu, nikaenda nae hom kumtambulisha kama mchumba.... Mzeee akafarijika!!!!! Kurudi tu nikamtemaaaa....


Huyo dem anayekusumbua, tafuta dem wa chuo then aongee nae akisema wew ni mtu wake..... Hatakusumbua tena!!!!!
 

aya bana mkuu Pasco_jr_ngumi umetisha baba
 
Last edited by a moderator:
Haya, apology accepted. Kaka King'asti anauliza: wewe mchaga wa wapi? Manake saa hizi hata wakwere wanahimiza watoto wao wasome wakawe mapresident nyie mnahimizana kujaza dunia na mnaona kuna scarce resources?

Aaaah,hebu tutake radhi bana,nani kasema wachaga tunaoa mapema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…