Jamani niko njia panda

Jamani niko njia panda

Kuku dume kwanza pole sana, halafu naomba nikwambie haya kama ushauri tu japo kuwa siyo lazima yawe applied mia kwa mia.

Kwa umri wako wa miaka 22 bado ni kijana mdogo sana, kiukweli sikushauri hata kidogo uingie kwenye maswala ya ndoa ukiwa that much young. Yapo mambo mengi sana ambayo hutoweza kuyamudu kimaisha kwani ndoa ni zaid ya kuwa na mke na kulala naye.

Mama yako napata picha ni mchaga tena ambaye bado yuko migombani anachuma kahawa na kupalilia migomba kama kawaida ya wazazi wetu. Yaelekea wewe ni mzaliwa wake wa kwanza tena wakiume, kwa mtazamo wake kama baba hayupo(amefariki. hapa nitakuomba unisamehe kama nitakuwa nimekuwa tofauti na mod please usinipe ban), basi yeye atawaza wewe uoe ili uwe na mke na watoto akijua kuwa mkamwana atakwenda kukaa naye pale home alime, na kulisha ng'ombe ili kuongeza mali home na siku wewe ukienda likizo ukute maendeleo makubwa. Hapa anaangalia zaid uwezo wa kupata cheap labour akasahau kabisa kuwa siku hizi hakuna wachaga wanao acha wake zao huko moshi wakichuma kahawa halafu wao wakaja mjini. Kwahili naona wala huna haja ya kumwambia mtu yeyote yule zaid ya hapa jf ambao hatukujui.

usitake mambo haya ya familia yenu yawe hadharani kwa watu bwana, ushauri wangu kwako likizo nenda home, kisha mwambie mama kuwa umepata mchumba lakini kwa sasa yuko masomini hivyo unamsubiri amalize shule kwa hiyo akuvumilie kwanza. kwa desturi ya akina mama wa kichaga ya kupenda kuja harusini watambulishwe ukumbuni kama wazazi wa bwana harusi huku akiwa amesindikizwa na rafiki na ndugu huwa yaani anaona fahari sana na usikute hili ndilo linalomsukuma zaid moyoni. sasa mwambie akupe muda uipange na usubirie mwenzi wako amalize chuo. pia mweleze ajue kuwa wewe unatakiwa uwe na life yako hivyo akupe nafasi ujipange vizuri.
kamwe usimweleze kwa ukali, wala usimwonyeshe kuwa mawazo yake yamepitwa na wakati. ukitaka kumfuraisha zaid mweleze bayana kuwa unampenda sana na unatamani uoe ili umletee mkamwana wawe wanavaa vitenge sare. mpambe kwa maneno matamu ili akuelewe bwana.

kuhusu binam yako kamwe usimwendekeze, huyo mpe kubwa kuwa hutaki mawasiliano naye hasa ya kimapenzi kwani hana mvuto kwako. usimwogope na kamwe usikae nae karibu kwenye unywaji asije akakufanya ukaingia dhambini naye. Otherwisw soma sana
 
Kuku Dume pole kwa yanayokukuta, 'Ale kuorye wachaka wekealikana mana o Shangazi na O ashirie'? Ulakubali ma kituntuny... shikilia msimamo wako wa kupiga shule kwanza.
 
kuku dume, usimlaumu mama
hii ni changamoto sana kwa akina mama wanaolea watoto wao peke yao
tena wewe wa kiume na uko peke yako

labda ana wasiwasi usije kuwa kiwembe ukaishia kupata magonjwa.
Afu anatamani kuona nyumba imejaa wajukuu.

Kweli ni changamoto kwa mama ako sana.

Pia usijaribu kucheza tricks kubwa kubwa za mapenzi
unaonekana bado hujawa mzoefu
usije ukanasa kwa magume gume
ishi staili uliozoea na unayoiweza hadi utakapokuwa tayari kupenda au kuoa.

Love games ni ngumu mno, asikwambie mtu.
 
Thank you for your good advice. I get it and i shall work on it.

Mungu akuongezee busara

Kuku dume kwanza pole sana, halafu naomba nikwambie haya kama ushauri tu japo kuwa siyo lazima yawe applied mia kwa mia.

Kwa umri wako wa miaka 22 bado ni kijana mdogo sana, kiukweli sikushauri hata kidogo uingie kwenye maswala ya ndoa ukiwa that much young. Yapo mambo mengi sana ambayo hutoweza kuyamudu kimaisha kwani ndoa ni zaid ya kuwa na mke na kulala naye.

Mama yako napata picha ni mchaga tena ambaye bado yuko migombani anachuma kahawa na kupalilia migomba kama kawaida ya wazazi wetu. Yaelekea wewe ni mzaliwa wake wa kwanza tena wakiume, kwa mtazamo wake kama baba hayupo(amefariki. hapa nitakuomba unisamehe kama nitakuwa nimekuwa tofauti na mod please usinipe ban), basi yeye atawaza wewe uoe ili uwe na mke na watoto akijua kuwa mkamwana atakwenda kukaa naye pale home alime, na kulisha ng'ombe ili kuongeza mali home na siku wewe ukienda likizo ukute maendeleo makubwa. Hapa anaangalia zaid uwezo wa kupata cheap labour akasahau kabisa kuwa siku hizi hakuna wachaga wanao acha wake zao huko moshi wakichuma kahawa halafu wao wakaja mjini. Kwahili naona wala huna haja ya kumwambia mtu yeyote yule zaid ya hapa jf ambao hatukujui.

usitake mambo haya ya familia yenu yawe hadharani kwa watu bwana, ushauri wangu kwako likizo nenda home, kisha mwambie mama kuwa umepata mchumba lakini kwa sasa yuko masomini hivyo unamsubiri amalize shule kwa hiyo akuvumilie kwanza. kwa desturi ya akina mama wa kichaga ya kupenda kuja harusini watambulishwe ukumbuni kama wazazi wa bwana harusi huku akiwa amesindikizwa na rafiki na ndugu huwa yaani anaona fahari sana na usikute hili ndilo linalomsukuma zaid moyoni. sasa mwambie akupe muda uipange na usubirie mwenzi wako amalize chuo. pia mweleze ajue kuwa wewe unatakiwa uwe na life yako hivyo akupe nafasi ujipange vizuri.
kamwe usimweleze kwa ukali, wala usimwonyeshe kuwa mawazo yake yamepitwa na wakati. ukitaka kumfuraisha zaid mweleze bayana kuwa unampenda sana na unatamani uoe ili umletee mkamwana wawe wanavaa vitenge sare. mpambe kwa maneno matamu ili akuelewe bwana.

kuhusu binam yako kamwe usimwendekeze, huyo mpe kubwa kuwa hutaki mawasiliano naye hasa ya kimapenzi kwani hana mvuto kwako. usimwogope na kamwe usikae nae karibu kwenye unywaji asije akakufanya ukaingia dhambini naye. Otherwisw soma sana
 
Kuku Dume pole kwa yanayokukuta, 'Ale kuorye wachaka wekealikana mana o Shangazi na O ashirie'? Ulakubali ma kituntuny... shikilia msimamo wako wa kupiga shule kwanza.

Ngilhande ichuo kokoya kuorye wandu wa mbarhee yo fho....lhakinyi meinyi ngiona cheilhi nyi kindo kya mbare.

Uichi inyi ngii kanyi ngikheenda chumia chumia fho. Ma ngikenyo wari fho kokurho ngikekoyana na wandu sana fho na ma wekye ona wandu wa nguo s'ha waka wechicha na halha kanyi ingisaiya fho.

Kokurho manacho wa shangazi wo papa nyilho kangikapiang'u simu kangiwesa wai nakundi ichengisaiya na nakundi ngimualhike kokufha maonyi wai ngemuwa.
 
22 uoe??dah ongea na mama yako vizuri huo umri ni mdogo sana kuoa ikiwezekana tafuta wazee wenye busara zaidi wamueleweshe am sure ataelewa tu..
About huyo mtoto wa shangazi ni rahisi sana kumuepuka,simply kata mawasiliano nae,akipiga simu usipokee na akikutext usijibu baada ya mda ataelewa tu..
 
Thank you for your good advice. I get it and i shall work on it.

Mungu akuongezee busara

Amen mdogo wangu, na wewe akupe hekima kweli wakati wa kuongea na mama ila please usitake mambo ya familia yenu yawe exposed kwa watu baki be a man and act as a man. ni ngumu lakin utaweza. mandugu wa ukoo ni wabaya sana
 
Mwambie mama achague moja kukukosa wewe au akuache huru kuamua jambo unalolitaka (mwambie ktk hali ya kumtishia ila isiwe dhamira yako kufanya hivyo)
 
Ngilhande ichuo kokoya kuorye wandu wa mbarhee yo fho....lhakinyi meinyi ngiona cheilhi nyi kindo kya mbare.

Uichi inyi ngii kanyi ngikheenda chumia chumia fho. Ma ngikenyo wari fho kokurho ngikekoyana na wandu sana fho na ma wekye ona wandu wa nguo s'ha waka wechicha na halha kanyi ingisaiya fho.

Kokurho manacho wa shangazi wo papa nyilho kangikapiang'u simu kangiwesa wai nakundi ichengisaiya na nakundi ngimualhike kokufha maonyi wai ngemuwa.

dogo umenikosha nasi sana wewe na true love. sijui tu kukiandika ila naelewa sana. mmenipa raha sana
aika sana mono wa ma
 
Kwa kweli you are yuong, mama yako anapoint but mwambie avumilie...zaidi fuata ushauri wa rais wako 'tulia huo ni upepo tu, nao utapita'
 
mama yako kama ana kihrehere cha kupata wajukuu,mwambie kabisaa kuwa hio sio shida ila atawagharimia matunzo??? kama ana kipato cha kueleweka mwambie hayo ni majukumu yake.......tuone atasemaje,i cant believe kuna wamama wasiowaza future za watoto wao kiasi hiki....:A S-baby::A S-baby::spy:
 
Ongea na mama vizuri kuhusu hili jambo.Naona anaogopa uzao wake utapotea maana uko peke yako.Miaka 22 kuoa kwa sasa hivi ni michache mno.
 
Nimepokea ushauri mzuri sana. Sijui ingekuwaje bila JF.
 
Back
Top Bottom