Nilikuwa natamani sana kujenga nyumba za kupangisha. Halafu kisha nakopa benki kwa dhamana ya nyumba hizo hizo naenda kujenga sehemu nyingine. Basi inakuwa ndiyo mwendo wa kukopa na kujengayaani ulikuwa unasema, siku nikipata pesa nitafanya hiki na hiki au hiki na kile.
Mkuu nipe mawazo yako utabarikiwa. Mambo ya ID na nn yaache kule kule kwenye lile jukwaa.Kama ingekuwa ID tofauti na hiyo ningekuwa mchongo usingekaa ujute. Tens ungetumia 18M tu
Sawa kwa 30mi/= unaweza kujenga nyumba moja au mbili hapa Dar kama una kiwanja/viwanja. Hilo utaweza ukitumia "force account", UNAIJUA? Na itategemea uko Dar ipi anyway.Nilikuwa natamani sana kujenga nyumba za kupangisha.
Kuhusu bishara; usilime usifuge kwa mkumbo
Hapana mkuu. Dadavua kidogoforce account", UNAIJUA?
Hebu kwanza muulize Waziri Jaffo! Any way hii ni njia ya kutumia "nguvu kazi" iliyo karibu nawe, yaani tafuta mafundi wachache wazuri, wawe na vibarua wao wazuri na UFANYE SUPERVISION WEWE MWENYEWE hasa kwenye UNUNUZI WA VIFAA. Kwani hapo ndio tunapo umiziwa zaidi na mafundi. Nunua vifaa mwenyewe. Ule uofisa wako wa 2.4m. weka pembeni na matokeo utayaona.Haoana mkuu. Dadavua kidogo
Million 30 nyumba mbili Dar?Sawa kwa 30mi/= unaweza kujenga nyumba moja au mbili hapa Dar kama una kiwanja/viwanja. Hilo utaweza ukitumia "force account", UNAIJUA? Na itategemea uko Dar ipi anyway.
Yes, kama una viwanja na ukitumia "force account" INAWEZEKANA KABISA hasa hasa kama uko Dar-es-Salaam!Million 30 year nyumba mbili?
Dah! Kweli tumetofautiana...Yes, kama una viwanja na ukitumia "force account" INAWEZEKANA KABISA hasa hasa kama uko Dar-es-Salaam!
Asante kwa ushauri na maelekezoHebu kwanza muulize Waziri Jaffo! Any way hii ni njia ya kutumia "nguvu kazi" iliyo karibu nawe, yaani tafuta mafundi wachache wazuri, wawe na vibarua wao wazuri na UFANYE SUPERVISION WEWE MWENYEWE hasa kwenye UNUNUZI WA VIFAA. Kwani hapo ndio tunapo umiziwa zaidi na mafundi. Nunua vifaa mwenyewe. Ule uofisa wako wa 2.4m. weka pembeni na matokeo utayaona.
KARIBU SANA!Asante kwa ushauri na maelekezo
Nilikuwa natamani sana kujenga nyumba za kupangisha. Halafu kisha nakopa benki kwa dhamana ya nyumba hizo hizo naenda kujenga sehemu nyingine. Basi inakuwa ndiyo mwendo wa kukopa na kujenga
Hata mimi ndio nashangaa!!au mabanda??Million 30 nyumba mbili Dar?