cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Mpeleke mwenzio kwa shehe ubwabwa😃Aisee, 🙌
Acha kukua serious sana sasa, just relax and enjoy, aye.Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.hofu yangu asije akapita iv kama wale!!!!
Mara nyingi anayeacha ndio huteseka na hujiona mkamilifu asiye na madhaifu , kubali kuachwa ili univers ikubebe wewe na mapungufu yako , kuacha sio fahari kwani tafiti huonesha wanaume au wanawake wanaotoa talaka huteseka wao zaidi kuliko wale waliowapa talaka, na hayo hupimwa ndani ya miaka 5 , 10, 15Nakushauri kuwa mtulivu aliyesahihi atatulia nawe....akupendaye atakubeba pamoja na mapungufu yako na kuyafanya hayo mapungufu yageuke utakatifu.....
Lakini pia jifunze kuacha cute
Mpeleke mwenzio kwa shehe ubwabwa😃
OkayMara nyingi anayeacha ndio huteseka na hujiona mkamilifu asiye na madhaifu , kubali kuachwa ili univers ikubebe wewe na mapungufu yako , kuacha sio fahari kwani tafiti huonesha wanaume au wanawake wanaotoa talaka huteseka wao zaidi kuliko wale waliowapa talaka, na hayo hupimwa ndani ya miaka 5 , 10, 15