Jamani nimechoka kuachika na wanaume

Jamani nimechoka kuachika na wanaume

Kwanini ulikua unaachwa kila ukipata mwanaume??
 
Vitu viwili-vitatu tu hapo mkuu:
1. Tabia
2. Maradhi ya kurithi
3. Kutumika kupitiliza.

Jamaa akiona umetumika(ni rahisi kujua kama Ke ametumika sana), lazima atembee mbele kama askari.
Kuna demu nilimtest nikamuuliza kiutani utani kuwa inaonekana umisha tembea na wanaume wengi bila shaka hiace inajaa akasema hiace tu Costa ina jaa
 
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.

Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!!
Hata Hii username yako ina kitu kibaya cha kiroho. Wewe ni wa baridi na hiki ni kitu kibaya mno kwa wanawake
 
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.

Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!! ''comment zenu sizielewi Hadi saizi niombe Dua kwaajili ya uyo mwanaume au niache niingie kichwa kichwa bila Dua?"
Ingia na Dua Mkuu.
 
Walikuacha walisema tatizo nini?
Asilimia kubwa wanaume huwa tunaacha bila kusema tatizo ni nini ndo maana kila mwanamke anaeachwa huwa anajiuliza mwenyewe "kwani mi na kasoro gani?" Hadi umwambie kasoro yake labda awe amekukera sana.

Wao huwa ndo wanatuambia kasoro zetu utaskia mwanaume gani huna pesa kwahiyo unajua wapi urekebishe
 
Usihangaike kumtuliza utajichosha. Utatembea sana kwa masheikh na kuoga dawa, unapoteza muda.

Mapenzi sio kwa ajili ya kila mtu. Wengine HAIRUHUSIWI.

Ni kazi sana mpaka UOMBE KIBALI kwa YEYE, tena huyo atakayekuja lazima ateuliwe na apimwe kama anafaa na kustahili.

Lazima YEYE ahusishwe kabla hujaingia kwenye mahusiano yoyote ili upewe kibali na huyo YEYE aridhie kwa masharti yanayoeleweka.

Lakini huyu YEYE sio yule wa Pascal Mayalla, huyu ni YEYE wa aina yake.

Huyo YEYE asipokupa kibali cha kuingia kwenye mahusiano lazima udate maana utaachika sana, kila anayekuja anakukimbia bila sababu inayoeleweka maana YEYE huwa ANAMTIMUA.

Cc: chiembe ChoiceVariable Extrovert Labella
 
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.

Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!! ''comment zenu sizielewi Hadi saizi niombe Dua kwaajili ya uyo mwanaume au niache niingie kichwa kichwa bila Dua?"
Pole sana.

Mng'ang'anie tu. Akitaka kukuacha mwambie haachwi mtu hapa, kashavunja kikombe anakinunua tu, mng'ang'anie tu.

Umenikumbusha kuna binti aling'ang'ania mtu kila akitaka kuachwa anajitoa akili anang'ang'ania tu.
 
Sasa wewe hakuna chakula unachojua kupika zaidi ya mtori kwanini watu wasijiongeze...?
 
Nicheki pm tuyajenge. I am serious bibie
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.

Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!! ''comment zenu sizielewi Hadi saizi niombe Dua kwaajili ya uyo mwanaume au niache niingie kichwa kichwa bila Dua?"
 
Unachokiwaza ndiyo kitatokea,kuwa huru usishikilie jambo libaki kwako,ukionesha kung'anga'ania jambo,hilo jambo litaondoka tu. Kaa kwa kutulia subiri uone.
 
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.

Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!! ''comment zenu sizielewi Hadi saizi niombe Dua kwaajili ya uyo mwanaume au niache niingie kichwa kichwa bila Dua?"
Hahahha
 
Back
Top Bottom