Jamani nimefiwa!

pole kwa wafiwa wote na kwako mpendwa kwa kuondokewa na best wako.
 
poleni sana kwa msiba,bwana alitoa,bwana ametwaa
 
pole mkuu na pole kwa wafiwa wote
Mungu alaze roho ya marehemu peponi, Amina
 
Pole Kwako Na Familia Ya Bestman. Alale Pema Peponi. Amina.

Steve Dii
 

My condolences
 
Mungu awatie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
Amen
 
Ndugu,

Pole sana,kazi ya Mungu haina makosa,

Jipe Moyo,wote safari ni moja,

Ameni
 
Pole sana mkuu, mungu akuongoze katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana...Mungu amlaze mahali pema peponi. AMEN
 
Kazi ya Mungu haina makosa R.I.P Best man.
 
bwana ametoa,bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe!pole sana mkuu!poleni sana wafiwa
 

Pole sana mkuu
 
Pole sana mkuu.......Mungu ailaze roho yake mahali pema peopni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…