Una uhakika gani na yeye anataka kujiingiza kwenye uhusiano na na wewe. Mtokee kwanza ili uone, pengine unajisumbua tu kufikiri kumbe mwenzako hana mawazi hayo. Mtokee akikataa automatically ukaribu utaisha na kazi zitaendelea. Akikubali chukua karatasi mbili. Andika jedwali lenye faida na hasara za kila option. yaan ku do na kutoduu. Nenda buchani muombee muuza nyama mizani. Zipime kila moja upande wake wa mizani. Chukua option yenye uzito zaidi. Jumapili njema.[
Tatizo opposite sex bwana! hamuwezi kuwa friends tu huku mkizingatia kuwa inabidi msivuke mipaka as you are both commited! kaakili katawatuma tu kwenda exxxtra mile:hand:
Usitafute mchawi sehemu nyinge. Unaye hapo hapo. Naye ni TAMAA YA MWILI. Mkemee kwa jina la Yesu ataondoka mara moja.
angalia kuna kunasana"ISIJE IKAMESWA...TENA OGOPA SANA IKIMESWA FAINI NI 5MILLIONS. Hebu angalia usije jiroga mwenye mke wa m2 achana nae kabisa.
hata sijui ndugu. Ni vile tu tukikuatana tunakuwa karibu sana kupita kiasi bila mi mwenyewe kujitambua. Kiasi kwamba hata wenzangu wameshahisi kuwa nimeshatekwa. Kumkimbia inakuwa kazi sababu tunashirikiana kazi za kiofisi. Na baadhi ya watu wameshaanza kuhisi nimeshaua.
ukweli kwamba huyo dada naye ni mke wa mtu ina-complicate issue nzima... angekuwa single angekuwa fair game