Jamani, nimeokota mapesa!

Umeandika ukiwa na wenge jingi sana halafu umejichanganya hata haueleweki, lengo la huu uzi ni nini?

Kuokota mapesa au kutangaza injili ya YESU? Au kujitangazia wewe ni muaminifu?

Halafu uaminifu wa mtu hautangazwi na mtu mwenyewe. Eti mimi ni muaminifu 🤣🤣🤣 hebu jishikilie basi.
 
Kwa kuokota pesa ndio mungu yupo🤣😂, kwahiyo usingeokota!? 😂🤣
Mungu yupo tu hata nisingeokota. Point yangu ni kwamba nilikuwa na shida ya pesa, nikamuomba Mungu akanipa mapesa kwa njia hiyo ya muujiza. Huo ni udhihirisho kuwa Mungu yupo, anasikia maombi yetu na kutupatia haja zetu.
 
Mkuu,hizo pesa zitakuletea shida acha ujuaji,kama unamwogopa Mungu,Kalipoti polisi,ipo siku waliozisahau hizo pesa watakumbuka na kuja tena ofsini kukudai!
No worries! Waliozisahau wakija kunidai nawarudishia mapesa yao😀
 
Ariiiiiiiiiise!
And shiiiine
Usiogope
Amini tuu...
Nategemea jumapili utatoa ushuhuda kawe kwa mtume bulldozer Dr Mwamposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…