Jamani nimsaidiaje uyu Msichana?

Nashukuru kwa maneno yako ya hekima..nimefarijika sana kwa ushaur wako!

Mkuu hebu muache huyo binti na ututake radhi walimu haraka, yani unakula demu wa mwalimu!

Tena mwambie huyo demu akimtosa teacher ataharibikiwa maishani mana kamshahara ka teacher ukikafisadi hata Mungu hatamsamehe!

kumwacha ni jambo jema sana maana utakuwa umeifanya halali kuwa halali

na kuifanya haramu kuwa haramu

asante mkuu...nilijihs kama nitakuwa namtendea visivyo!nimeweka hapa sabab dhamila yangu si butu,nina chembe ya ubinadamu,amekuwa akiniandkia msg za masiktiko sana

mi naona unadanganya tu we jamaa

Mkuu hebu muache huyo binti na ututake radhi walimu haraka, yani unakula demu wa mwalimu!

Tena mwambie huyo demu akimtosa teacher ataharibikiwa maishani mana kamshahara ka teacher ukikafisadi hata Mungu hatamsamehe!

Basi nimekuelewa mkuu,usitumie lugha ngumu ivo,NIMEMUACHA

Kuna haki y mtu kupata na kufurahia anachokipenda, km mwl alipendw na ss hapendw hn sbb z kulialia kw ss km n pesa alitoa n jambo l kawaid wanaum k2mia pes haijalish n kiac gan ,huyo dd asilzimishw kwend asikopend km jamaa anaring bac huy dd atampt mwngn,pia wanaume tutambue kuw misaad tunayojisikia kuwap wasichan huk tukingoja fadhil za mapenz hiz n rushw na pia huwafany wajickie kudhalilishw,ndio maan huw wanashindw kutofautisha wema na rushw,so tusitumie advantage za matatizo yao ,True love don't cost a thing.

Walimu tuna hali ngumu, posho ze2 wadhulumu, mapenzi nayo tudhulumiwe, dah! Pole yake mwalim huko kijijini ila itabidi ajitaftie mwalim mwenzie....ambae ataridhika na kipato cha ualimu......!

mkuu mimi sijamwacha kwa hila wala sikumbuki ata wema nliomtendea..na hakuwa na kazi,nilikuwa na utaratibu wa kumpa viela kila mwezr,ata baada ya kumwaacha niltaka kuendelea lakn ye amekataa,na amejishkia uchungu sana...SASA MI NIFANYAJE!EBU NIAMBIE

GD I beg to differ with you and your suppoters. Mahusiano ya mapenzi hayako hivo, mke niliye naye kwa mwaka wa nane wa ndoa yenye furaha
sasa alikuwa kwenye hali kama hiyo. Jamaa alilia sana hata ningemwachia yawezekana ndoa yao isingekuwa ya furaha, ifahamike kuwa mahusiano ni business na kila business ina risks zake. Mwalimu huyo ajilaumu mwenyewe atasomeshaje kwa malipo ya kuoa? Wewe bwana kama mwanamke unampenda oa haya maswala wanawake siku hizi wanapenda material things haya yapo na ni world wide, mkono mtupu haulambwi na hakuna nchi isiyo na rais

Duhduh nimeona busara zako za kiutu uzima,zimejaa uzoefu na hekima!you made the hard feeling of my day!......NILIKUWA NAMPENDA SANA!lakn manung'uniko ya jamaa yanaweza yakaikosesha aman urafki wetu.

GD achana na urafiki bro fuata moyo wako, usisikie la mtu labda unaona humpendi sasa na hicho ndicho kisingizio cha kumwacha. Kama huyo mwalimu ni rafiki yako jaribu kumwelewesha akubali hali halisi la hataki chukua mtu wako and move on.

i ever come across wth a teacher...i used to hear him!and he one day made a call to me!...naisikiliza sauti ya moyo wangu...napenda kuitii!hisia zangu ni za upendo wa kweli..bt hard time to decide

Walimu tuna hali ngumu, posho ze2 wadhulumu, mapenzi nayo tudhulumiwe, dah! Pole yake mwalim huko kijijini ila itabidi ajitaftie mwalim mwenzie....ambae ataridhika na kipato cha ualimu......!

duh taratibu mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…