Jamani nina Gonorrhea?

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Dokta kanipima...Kasema nina UTI....Ila sasa kaniandikia ciproflocaksin 1. Erythromycin dozi nzima na Doxy dozi nzima. Kwa utafiti wangu hii dozi ni ya Gonorrhea kama ni UTI kwa nini hakunipa cipro peke yake? Cha kushangaza zaidi dalili za Gonorrhea.
 
Pole,meza haraka itaisha tu kwan unabahati gono ina tiba!!!,na kama unatutania uipate leoleo au kesho!!
 
Baada ya miezi mitatu ukapime na VVU maaana ni vizur kutambua kama huna au unao!!!!!!
 
yellow card hiyo mkuu siku hizi mechi bila soksi ya mpira utapata usajili wa kudumu kwenye kile kitengo, unaoneka na wasiwasi sana kwanini usimuulize daktari aliyekutibu
 
pole sana, Inawezekana una gonorea lakini jaribu kupima na UKIMWI baada ya muda fulani hope utapona.
 
Baada ya miezi mitatu ukapime na VVU maaana ni vizur kutambua kama huna au unao!!!!!!

Mbona mwenzenu kasema anahisi ana gonorrhea badala ya kumshauri atumie dozi nyie mnakazania akapime ukimwi kwani kawaambia anahisi ana ukimwi au hamjaelewa swali lake
 
Dokta kanipima...Kasema nina UTI....Ila sasa kaniandikia ciproflocaksin 1. Erythromycin dozi nzima na Doxy dozi nzima. Kwa utafiti wangu hii dozi ni ya Gonorrhea kama ni UTI kwa nini hakunipa cipro peke yake? Cha kushangaza zaidi dalili za Gonorrhea.

ciprofloxacin ni kwajili ya uti na typhoid fever,uti wewe c umepimwa? ndo ukagundulika unayo pa1 na typhoid? vile vile kakusaidia kukutibu na typhoid mshukuru.unazijua daliki za gonorrhea? na umepima? uti yako ni chronic. msituonee madaktari.mimi nakutibu kutona na maelezo yako ukinificha shaur yako.
 
Asante doctor Matege#mimi badooo nameza dozi imenitokeaa hiyoo kitu
 
Last edited by a moderator:

Yes mkuu ana uti yake ni nusu chronic ndo maana kapewa dawa hizi.Ingekuwa pure chronic angepandikizwa sindano 10 kwny mishipa ya mkononi,yani 2 kila siku kwa siku 5.Na ikiwa komavu kabisa basi ni upasuaji.UTI mbaya sn kwa jinsi ME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…