Jamani niombeeni, Jana nimeota hii ndoto

Umesema ulilalia jicho la kushoto, taarifa zilipelekwa kwenye ubongo kuwa jicho linaumia, na ili lisiendelee kuumia (kwakuwa umelilalia)
Ubongo ukatengeneza taswira ya kutisha kuwa eneo la jicho haliko sawa na linaumia, kupitia picha hiyo (ndoto) ukakurupuka kutoka usingizini na ndoto imeisha, jicho sasa liko salama haliumizwi tena, na kazi ya mifumo ya fahamu imeisha.
Over!
kudadeki
 
Nimeipenda hii
 
Pole sana, nunua godoro jipya na hakikisha chumba kinaingiza hewa vizuri...
 
Back
Top Bottom