many thanks wapendwa, ila jana Ijumaa, My GF kama kashtuka vile, kaniuliza huyu mama Jirani mbona kama anakungolea macho? nikajifanya sijasikia vizuri, akarudia, nikamwambia huyu mama yaani yupo almost everyday hapo barazani kwake, sasa nikipita ananisalimia, ila nikamwambia huyu kizee ananittolea macho unazania ananitamani? Heee my GF hakujibu, akasema take care..., eehh nilishtuka kidogo,