Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 50
Angalia kwa makini achana naye maana takwimu sasa zimegeuka na zinaonyesha kuwa wale wanaoishi ktk ndoa asilimia kubwa sana wana WEAPON OF MASS DESTRUCTION (WMD) YAANI SILAHA ZA MAANGAMIZI. NAKUSHAURI ACHANA NAYE KABISA. hasa kwa kuwa una GF wako sasa umekosa nini uanze kujitumbukiza huko? ungekuwa umeoa ningekushauri tofauti maana ww sasa ndio unaanza kurina asali ya GF wako au siyo tamuuu? au nyuki wake wadogo wanakun'gata sana. Basi kuwa mwangalifu kaka mimama hiyo ndiyo siku hizi inabeba WMD usikubali