Jamani nipeni RUKSA mama wa miaka 56, i am 24yrs

Jamani nipeni RUKSA mama wa miaka 56, i am 24yrs

Kila jaribu linamlango wa kutokea; bahati mbaya kwa muda huo wote kuna giza limefunika macho yako. Upgrade GF wako to wife na mwanga utaonekana na giza kuishia (Giza na Mwanga havikai pamoja) , nje ya hapo utaangukia pua.
 
huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya Uhasibu hapa Dar, nimemaliza Chuo, nina GF, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali Sept. 2008 so she is single now, na anamaisha mazuri tu, mm nakaa si mbali naye, hata yy anamjua my GF alivyo Mrembo, t.a.ko nyeupeeeee, sasa huyu mama ana miaka 56, anajitunza, anamzigo wacha, kila siku mara simu, mwanangu nakusalimia maana naakuamini kweli, nakupenda ulivyo pia, hunywi pombe, mtulivu, handsome, tall mambo kibao, mara weekend anakuja home, i am alone na mtoto wa kazi, sometimes anamkuta my GF, hajali, ana watoto 3, wa mwisho she is 29 yrs, kaolewa, akija home akijua my GF hayupo anakuja na kanga moja yaani vituko, mara paja nje, t.a.ko hilo mmmhhhh, she is white, saffffiiiii too, jamani mm mwanaume huyu ni jrani pia niambieni, nihame au nimfukuze au.. nile..... ukimwona anajiheshimu si mlevi, mapepe ila nimemwambie asinipigie simu usiku, asema atajaribu, yaani yupo hot kwangu balaaaa, msaada plse
ndio ,kura wameiiba kitakachofuata ni kukuiba wewe sasa :smile-big::smile-big:
 
huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya uhasibu hapa dar, nimemaliza chuo, nina gf, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali sept. 2008 so she is single now, na anamaisha mazuri tu, mm nakaa si mbali naye, hata yy anamjua my gf alivyo mrembo, t.a.ko nyeupeeeee, sasa huyu mama ana miaka 56, anajitunza, anamzigo wacha, kila siku mara simu, mwanangu nakusalimia maana naakuamini kweli, nakupenda ulivyo pia, hunywi pombe, mtulivu, handsome, tall mambo kibao, mara weekend anakuja home, i am alone na mtoto wa kazi, sometimes anamkuta my gf, hajali, ana watoto 3, wa mwisho she is 29 yrs, kaolewa, akija home akijua my gf hayupo anakuja na kanga moja yaani vituko, mara paja nje, t.a.ko hilo mmmhhhh, she is white, saffffiiiii too, jamani mm mwanaume huyu ni jrani pia niambieni, nihame au nimfukuze au.. Nile..... Ukimwona anajiheshimu si mlevi, mapepe ila nimemwambie asinipigie simu usiku, asema atajaribu, yaani yupo hot kwangu balaaaa, msaada plse

age is just a number kata shauri maana yule gf hujamwoa na mama single.
What is your happiness and purpose in life.
 
uje nikufanyie counselling huyo mama **** lake jeupe utaliona pasi,,ngozi yake utaiona lamii ya magufuri nakwambia hautamtaka kumwangalia mara mbili....

Are u serious, sasa ni PM ningefurahi sana, maana yaani hata ww ni mwanamke ukimwona, utasema eeeeehhh, anakitu, msafi, kama mwaminifu, i know her for 7 yrs now, yaani akiniona tu anajinyegesha kwangu ile mbaya, mara nilikuwa nakuwaza sasa hivi, mara...............please nisaidie
 
ndio ,kura wameiiba kitakachofuata ni kukuiba wewe sasa :smile-big::smile-big:

Aiseeeeeee nadhani hii ni kweli wameiba kura zetu, sasa labda na mm nitaibiwa na kuchakachuliwa, now i am making a big U -TURN kwa hasira za kuibiwa kura nazielekeza kwa huyu mama, kwanza bila shaka huyu mama kaipigia kura CCM, i got a strong reason kuamsha hasira zangu, thanks
 
Hapo ndio faida ya ulevi inapoonekana,ungekuwa mlevi wala asingekufuata na wewe wala usingekuja humu kuomba ushauri.

asante kaka mwambie kijana huyo akamate safari larger na ma mbuzi katoliki akimbize mashetani kama hayo......tatizo la vijana wasio walevi ulevi wao huishia kwenye naniii!!!!!!!!!!
 
Kama unafuata dini na nimpenda maadili, endelea na uhusiano na huyo mama ,mbaka pale mipaka anapo ivunja mipaka ,ndio umwambia kabisa kuwa msimamo wako ni upi. Kama wewe ni mtu wa totoz na huna tatizo na ku date mtu bila ndoa, ok, umri sio tatizo, wanawake wenye umri mkubwa wanajua mapenzi zaidi ya watoto wadogo, hapo unaweza enjoy penzi la uyo mama , muhimu hakikisha unatumia condom na mpime afya zenu kuhakikisha wote ni wazima wa afya. enjoy.
 
Achana na mafataki wa kike. Nakuuliza swali moja GF wako unampenda? Bila shaka utasma unsmpenda sasa huyo mama wa nini? Unatakakuwa na wake wawili?
 
dah mie ningemhudumia huyu mama vizuri saana tu. unasema una mchumba unajibana kumbe mwenzio ana jibaba shauri yako. mama km huyo hawezi kukuketea shida za kitoto dah ningemtafuna nikamlamba, nikampelemba nikamtungia mashairi nikamwimbia nyimbo nzuri za kumsifia nikampiga deki na
ulimi wangu ki zantel yaani twanga kotekote lkn kwa ulimi nikamwogesha kwa olive oil nikamfuta maji kwa ncha za vidole vyangu, hilo nyomi aka t.a.ko ningelitafuna na kulimung'unya km bubblish halafu mama angenileeeea kwa mapeeeeeenzi km mwanaeeeee aaaah wewe changamkaaaaaaaa wewe haha tehe
 
akija home akijua my GF hayupo anakuja na kanga moja yaani vituko, mara paja nje, t.a.ko hilo mmmhhhh, she is white, saffffiiiii too, jamani mm mwanaume huyu ni jrani pia niambieni, nihame au nimfukuze au.. nile..... ukimwona anajiheshimu si mlevi, mapepe ila nimemwambie asinipigie simu usiku, asema atajaribu, yaani yupo hot kwangu balaaaa, msaada plse
Acha uongo kijana hiki kitu tayari umekwisha megewa pamoja na kudai wahukumiwa..................dalili zote nimekwisha kuziona..................mvua huwezi ukaisifia kabla haijakunyeshea...................wewe umekwisha lambishwa sukari sasa unasutwa na nafsi yako.........ninajua haya utayakataa.......lakini ulilolifanya kwa usiri mkubwa ukumbuke Muumba Wetu anakuona na iko siku ya siku atakuumbua na kuyaweka yote hapa jamvini nawe utastaajabu.......................................Ninakutegemea ukanushe...............................By the way...........Hivi lile **** la yule mama ulilijuaje kuwa ni jeupe kama hujalipapasa kujihakikishia weupe wake?

Na vigezo vyako vya uzuri vinatia wasiwasi...............sikuona ukimsifia au ukimwongelea GF wako....badala yake mawazo yako ni wasifu wa huyo "sugar mummy"..yaelekea umekwisha kukamatwa........pole sana......................umeingia kwenye tatizo kubwa mno ambalo hata ushirikina sasa utakukabili....................yaani kuabudu Miungu ambayo hata huifahamu............
 
ndugu yangu we kamua tu, ukimuacha ITAKUWA AIBU KWA MORANI KULIWA NA SAMAKI, MIMI NAONA UMRI WAKE WA HUYO MAMA NI WA KAWAIDA SANA,

KAMA WEWE HUTAKI NIPE CONTACT ZAKE
lucasmbilinyi@yahoo.com:A S angry::bowl::nono::hippie:
 
NDUGU YANGU KAMA WEWE UMESUSA HUO MZIGO, HEBU NISUKUMIE MIMI, NIKO VIZURI KWENYE HIYO MANENO, NATUMAI UTANIFANYIA HIVYO,
lucasmbilinyi@yahoo.com

CHANCE NEVER COME TWICE

:yield::hippie::smile::nono::bowl::A S angry:
 
Acha uongo kijana hiki kitu tayari umekwisha megewa pamoja na kudai wahukumiwa..................dalili zote nimekwisha kuziona..................mvua huwezi ukaisifia kabla haijakunyeshea...................wewe umekwisha lambishwa sukari sasa unasutwa na nafsi yako.........ninajua haya utayakataa.......lakini ulilolifanya kwa usiri mkubwa ukumbuke Muumba Wetu anakuona na iko siku ya siku atakuumbua na kuyaweka yote hapa jamvini nawe utastaajabu.......................................Ninakutegemea ukanushe...............................By the way...........Hivi lile **** la yule mama ulilijuaje kuwa ni jeupe kama hujalipapasa kujihakikishia weupe wake?

Na vigezo vyako vya uzuri vinatia wasiwasi...............sikuona ukimsifia au ukimwongelea GF wako....badala yake mawazo yako ni wasifu wa huyo "sugar mummy"..yaelekea umekwisha kukamatwa........pole sana......................umeingia kwenye tatizo kubwa mno ambalo hata ushirikina sasa utakukabili....................yaani kuabudu Miungu ambayo hata huifahamu............

Mkuu sijawahi hata kula wala kunywa kwake, ameshanitega saana nimeruka vihunzi, sasa nimegundua alimpigia kura JK na mm ni CHADEMA damu nimepata kigezo cha kufuta hata maongezi naye, yaani akiniona ana midadi, sasa namfungia kazi mm CHADEMA bwana hata kwa mapenzi, thanks
 
Achana na mafataki wa kike. Nakuuliza swali moja GF wako unampenda? Bila shaka utasma unsmpenda sasa huyo mama wa nini? Unatakakuwa na wake wawili?

Hapana my GF nae ana kitu balaa, yaani hapo kati usiseme,tall like me, softyyyyyyyy white mm natoka Arusha Mwiraq, my GF too, ila huyu mama yaani akija tu, kanga moja, sijui hta kama anavaa chupi, maana ananitingishia we acha, yaani ni uchi uchi tu, mara anajiachia sana siku moja kakaa kwenye sofa yangu nakaa Mwenge Makumbusho, yaani hadi chupi naiona while mtoto wa kazi anaandaa drink, shida tu, siku moja nikampa lift ya gari langu hadi soko dogo Kinondoni akiwa na housegirl wake, yaani nashindwa kusema, kapanua naona almost mashine yote in my front seat, duuuuuuuuhhhhhhh
 
Sayitaa. Sayu.

Pole mkuu. Najua unatania sasa.
 
Sayitaa. Sayu.

Pole mkuu. Najua unatania sasa.

Sayuu ako, aidoma, gam amee'ni alu mawe arrgan, mkuu situngi, i am true, nashukuru baada ya kupitia msgs zenu i won't try, toto langu la Kiiraqw linanitosha, Kazi njema
 
Sasa wewe umevutiwa na miaka yake 56 or weupe wake? Or zigo lake? Or mali zake? Au anavo ongea? Nenda tu akakumalize, wote watakucheka. Sasa sijui utamwita mpenzi or mama? Fuatilia your age bro, atakupoteza hilo limama. Kama ana hamu ya ngono afuatilie vizee wenzie looooooo
 
huwezi amini, si natunga, ni kweli, mm nafanya kazi nzuri ya Uhasibu hapa Dar, nimemaliza Chuo, nina GF, na huyu mama alikuwa na mumewe alipata ajali Sept. 2008 so she is single now, na anamaisha mazuri tu, mm nakaa si mbali naye, hata yy anamjua my GF alivyo Mrembo, t.a.ko nyeupeeeee, sasa huyu mama ana miaka 56, anajitunza, anamzigo wacha, kila siku mara simu, mwanangu nakusalimia maana naakuamini kweli, nakupenda ulivyo pia, hunywi pombe, mtulivu, handsome, tall mambo kibao, mara weekend anakuja home, i am alone na mtoto wa kazi, sometimes anamkuta my GF, hajali, ana watoto 3, wa mwisho she is 29 yrs, kaolewa, akija home akijua my GF hayupo anakuja na kanga moja yaani vituko, mara paja nje, t.a.ko hilo mmmhhhh, she is white, saffffiiiii too, jamani mm mwanaume huyu ni jrani pia niambieni, nihame au nimfukuze au.. nile..... ukimwona anajiheshimu si mlevi, mapepe ila nimemwambie asinipigie simu usiku, asema atajaribu, yaani yupo hot kwangu balaaaa, msaada plse

pepo mchafu ashindwe kabisa AAAMEEEN
 
yaani hata kakobe akimwona hata weza vumilia, i am serious, kakobe mbona anakamua tu, nipe njia nzuri niepuke mitego plse
he he hee,kamua mkuu kamua,yaani bado unachelewa tu mpaka kutaka ushauri?wanakuwaga watamu kweli hao,lakini ndio ujue ukigusa matokeo kwa demu wako ujiandae
 
Back
Top Bottom