Ndio anawafanyaje
wANAKUJA WANESHAPATA CHANJO ZOTE? HIZO DALILI UNAZOSEMA NI UGONJWA WANAITA PAVOO,, FANYA USAFI WA BANDA UPULIZIE NA DAWA THEN KAA KAMA WIKI WALETE MBWA WAKO LAKINI HAKIKISHA WANAPATA CHANJO ZOTEE IKIWEMO CHANJO YA PAVONdio anawafanyaje
hao wadogo mpaka wafe lo???
Pole sana, parvo virus wako kwenye mazingira yako, kila mbwa mdogo utakaye mleta lazima aambukizwe. Virusi hao ni hatari sana hasa kwa mbwa wadogo, na wana uwezo wa kuishi ardhini kwa zaidi ya mwaka Mmoja. Mara nyingi mbwa akishaugua anakosa hamu ya kula, huarisha na kutapika, na hachukui zaidi ya siku3 anakufa. Kwangu nilishazika mbwa wadogo zaidi ya 10. Nilijaribu kutoa chanjo lakini bila mafanikio. Lakini habari njema ni kwamba baada ya kupitia changamoto hiyo, Mungu alinisaidia kugundua dawa asili ambayo nilimpatia mbwa ambaye nilisema angekuwa wa mwisho kufuga kwa eneo langu, na kwa bahati nzuri amepona na hata sasa anakaribia miezi 8. Niliwapatia na watu wengine kadhaa wenye changamoto kama hiyo, na mambo yalikwenda vizuri. Kwa yeyote mwenye dhamira, basi na aje inbox au whatsapp 0685831718Nina mbwa mkubwa.
Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa.
Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu akija kuwapa dawa huwa wanakufa moja kwa moja.
Chakula wanakula makombwe ya nyumbani kwangu na manyama yale yale yanayotolewa buchani.
Najitahidi kuwapa dawa za minyoo na pale napoona wanaumwa nina mwita tabibu anakuja kuwapiga sindano kutokana na hali waliyonayo lakini unkuta haisaidii chochote.
Sasa nashindwa kuelewa nini tatizo, tabibu sio mzuri hawapi dawa nzuri au ni infection gani waliyonayo.
NxuriPole sana, parvo virus wako kwenye mazingira yako, kila mbwa mdogo utakaye mleta lazima aambukizwe. Virusi hao ni hatari sana hasa kwa mbwa wadogo, na wana uwezo wa kuishi ardhini kwa zaidi ya mwaka Mmoja. Mara nyingi mbwa akishaugua anakosa hamu ya kula, huarisha na kutapika, na hachukui zaidi ya siku3 anakufa. Kwangu nilishazika mbwa wadogo zaidi ya 10. Nilijaribu kutoa chanjo lakini bila mafanikio. Lakini habari njema ni kwamba baada ya kupitia changamoto hiyo, Mungu alinisaidia kugundua dawa asili ambayo nilimpatia mbwa ambaye nilisema angekuwa wa mwisho kufuga kwa eneo langu, na kwa bahati nzuri amepona na hata sasa anakaribia miezi 8. Niliwapatia na watu wengine kadhaa wenye changamoto kama hiyo, na mambo yalikwenda vizuri. Kwa yeyote mwenye dhamira, basi na aje inbox au whatsapp 0685831718
Unawapa chanjo maana hiyo ni viral disease lazima wapigwe chanjo .Nina mbwa mkubwa.
Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa.
Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu akija kuwapa dawa huwa wanakufa moja kwa moja.
Chakula wanakula makombwe ya nyumbani kwangu na manyama yale yale yanayotolewa buchani.
Najitahidi kuwapa dawa za minyoo na pale napoona wanaumwa nina mwita tabibu anakuja kuwapiga sindano kutokana na hali waliyonayo lakini unkuta haisaidii chochote.
Sasa nashindwa kuelewa nini tatizo, tabibu sio mzuri hawapi dawa nzuri au ni infection gani waliyonayo.
Jirani mchawi hapendi mbwa, anawarogaNina mbwa mkubwa.