Mi ni kijana wa miaka 22,lakini nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa(kama miaka 4).Uume wangu hausimami ukakaza maana misuli yake imelegea,nakomea bao moja tu tena nawahi sana kumaliza,raundi ya pili ni ya kulenga kwa manati mpaka ushikweshikwe uume na ukisimama hauna nguvu,ukiingiza tu kama dakika tatu unasinyaa humohumo ndani ya uke kabla hata hujamaliza.Naumia sana maana sina hata raha ya kimaisha jamani,sina kisukari wala obesity lakini niliwahi kupiga punyeto mara kadhaa na nina muda mrefu sana tangu niache.Nawaombeni sana kwa msaada wenu kwa yule ajuae dawa anisaidie namna ya kuipata.SINA RAHA MWENZENU maana naogopa kuwa hata na mwanamke.