Jamani nisaidien mwenzen

Jamani nisaidien mwenzen

Packson

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
8
Reaction score
2
Mi ni kijana wa miaka 22,lakini nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sasa(kama miaka 4).Uume wangu hausimami ukakaza maana misuli yake imelegea,nakomea bao moja tu tena nawahi sana kumaliza,raundi ya pili ni ya kulenga kwa manati mpaka ushikweshikwe uume na ukisimama hauna nguvu,ukiingiza tu kama dakika tatu unasinyaa humohumo ndani ya uke kabla hata hujamaliza.Naumia sana maana sina hata raha ya kimaisha jamani,sina kisukari wala obesity lakini niliwahi kupiga punyeto mara kadhaa na nina muda mrefu sana tangu niache.Nawaombeni sana kwa msaada wenu kwa yule ajuae dawa anisaidie namna ya kuipata.SINA RAHA MWENZENU maana naogopa kuwa hata na mwanamke.
 
Mkuu.@Packson pole sana hapo nilipo weka Rangi Nyekundu ndipo palipo kuharibia Nguvu zako za kiume umesema ukweli na inafaa usaidie Soma hapa chini

SABABU 10 ZA KUPUNGUWA NGUVU ZA KIUME

Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:

1.ubugiaji wa tumbaku .

2.uvutaji wa sigara.

3.utafunaji wa mirungi.

4.unywaji wa pombe.

5.kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.

6.ugonjwa wa kisukari.

7.kujisaidia kwa njia ya mkono. (Kupiga Punyeto)

8.kuwa na mawazo kupita kiasi.

9.kufanya kazi ngumu.

10. Uzee Kuwa Mzee kiumri.

Kwako mkuu Sababu ya 7 ndio iliyokusababishia wewe upate hayo Matatizo ya Upungufu wa nguvu za kiume ukitaka Dawa ya

Kurudisha Nguvu Zako za kiume wasiliana na mimi kwa kunitumia Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com na pia

waweza kutembelea Thread yangu ya Dawa za kuongeza nguvu za kiume kwa mwenye kutaka bonyeza
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Back
Top Bottom