Jamani nisaidien namna ya KUAMA CHUO!

Jamani nisaidien namna ya KUAMA CHUO!

vipi unataka uende udsm nini? Mahala aliposoma mwigulu nchemba?
 
Msaada namna ya kuama chuo!plz.

Usijali kijana, mimi leo nimewasiliana na Tcu wakanambia kwa sasa itakuwa ngumu kuhama chuo lakini watatoa tangazo kwenye website yao jinsi ya kufanya hayo mabadiliko ya chuo. Kuwa mvumilivu
 
Umepataje chuo ili hali hujui kuandika?

wacha kujifanya ni Great thinker kwa kulaumu ujumbe ambao lengo umelifahamu. Binadamu tumeumba tunakosea. So kuandika kimakosa si kumpatia maneno kama hayo ilikuwa kama huwez kumshauri ilikuwa upotezee tu. Wacha kujifanya mkamilifu kwa kila jambo
 
nenda chuo unachotaka kuhamia mwone admission officer akuhakikishie nafasi ipo na akupe na registration number then wataarifu tcu kwa barua ili waweze kukubadil na iwe rahis kwa mkopo wako kwenda chuo ulicho thats all about.
 
Sasa unamaanisha unataka kuhama chuo ambacho unasoma au ndio umechaguliwa na TCU? Lakini kwa ufahamu wangu,ni ngumu mtu yeyote kuhama chuo kimoja kwenda kingine kwa nchini kwetu.
 
nenda chuo unachotaka kuhamia mwone admission officer akuhakikishie nafasi ipo na akupe na registration number then wataarifu tcu kwa barua ili waweze kukubadil na iwe rahis kwa mkopo wako kwenda chuo ulicho thats all about.

thanks! I"ll try.
 
wacha kujifanya ni Great thinker kwa kulaumu ujumbe ambao lengo umelifahamu. Binadamu tumeumba tunakosea. So kuandika kimakosa si kumpatia maneno kama hayo ilikuwa kama huwez kumshauri ilikuwa upotezee tu. Wacha kujifanya mkamilifu kwa kila jambo
wazo zuri...
 
Nazani uvivu wa kufikiri na upumbavu unakisumbua kichwa chako. Naomba ukutane na wataalam wa masuala ya akili ili wakusaidie zaidi. Unapotea

Wewe kijana mkorofi, matusi mengi, ndio hao wanakwenda vyuoni kuwa wataalamu- mwenzako kauliza kama huwezi kumjibu nyamaza. Nyie wanafunzi mnaufanya ukumbi huu kuwa wa chekechea!
 
Back
Top Bottom