jamani nisaidieni hapa!

jamani nisaidieni hapa!

Loreen

Senior Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
110
Reaction score
32
habarini wana jf , jamani kuna m2 alishakuwa na mtu kwenye mahusiano kwa kupitia hii wesite na wakafunga ndoa km yupo aniambie?
 
si ulikuwa unatafuta humu.kwa ushauri wangu usitafute mwanaume kama upo sirias kwenye mitandao.kwa sasa umepanic kwa kuachwa cool down utapata tu aliebora
believe me loreeen coool down kama una shida ya mwanaume saaaana ni pm nitakusaidia
ila hapa usichezee masharubu ya simba
 
aaa smile unathani ni kweli ninaelewa hilo mshikaji!
 
Wapo kibao watakontakiti na wewe wakiingia.
 
Back
Top Bottom