Chris_Mambo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 595
- 122
Ni kweli kabisa haya ,mambo kama hayajakukuta au kumkuta mume au mkeo ni rahisi sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. I was the same mpaka nilipo pata experience. Si rahisi hasa kwa wanawake kummwacha mumeo kisa amecheat ilihali kaomba msamaha, unless ndoa hiyo haiku base kwenye pendo la dhati.
Na hivi nilishajua kuwa kwa wanaume kutoka nje ya ndoa haina maana hampendi mkewe, hata nyumba ndogo inijie home kuharibu simwachi mume wangu n'go; unless nione kuwa mapenzi yamekwisha. Ila hizo tamaa za wanaume tutarekebishana tu.
Nyumba kubwa
Kwa hiyo kuwa na pendo la dhati, ni kuaccept infidelity ?I mean really!!!!!............................... I have said it before and I am going to say it again , men lacking consequnces for their stupid actions in marriages is what encourages and perpetuate hizi nyumba ndogo!
For instance situation kama ya huyu Majoja (sorry majoja ), ametoka huko nje ya ndoa, na mimba kampa msichana, thanks God its
just Mimba, What if angepata liuongonjwa huko then what?? Pendo la dhati my eyes!!!.....................................urghhh!!!!!!!!
Sidenote
Natoa wito kwa Wanawake wa JF, please these men need consequences!!!!!!!!!!!!!!!! Msiwe waoga to Draw a line and set precedence. Yes,
It's ok to forgive and want to stay in your relationships and/or marriages but please weigh out the risk vs benefit, na by benefit simaanishi material things i.e (nyumba, gari, au shopping mbili tatu) cause those are nothing compared to your precious life !!!!!!!!!!!!!

Ndugu yangu wewe watu tunaishi kwa misamaha bila hivyo hamna ndoa ingebaki duniani! Mimi sina shida ya ela but I know divorce si solution maana utaacha wangapi dear. Na sikai kwenye ndoa sababu ya materal things kwani naweza kujitunza mimi na wanangu. Unadhani divorce ni suluhisho au hasira? Ndio ya kuachika na kwenda kuwa nyumba ndogo. Pride aijengi kwenye ndoa.
Na simaanishi mwanaume anacheat alafu unampokea with smile. Vurugu ni pale pale but as long I still feel love and loved simwachi!
Ni kweli kabisa haya ,mambo kama hayajakukuta au kumkuta mume au mkeo ni rahisi sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. I was the same mpaka nilipo pata experience. Si rahisi hasa kwa wanawake kummwacha mumeo kisa amecheat ilihali kaomba msamaha, unless ndoa hiyo haiku base kwenye pendo la dhati.
Na hivi nilishajua kuwa kwa wanaume kutoka nje ya ndoa haina maana hampendi mkewe, hata nyumba ndogo inijie home kuharibu simwachi mume wangu n'go; unless nione kuwa mapenzi yamekwisha. Ila hizo tamaa za wanaume tutarekebishana tu.
Mtego gani ulionasishwa?!Alikulewesha ulivyoamka ukakuta mlishamalizana?!Alikulazimisha?!Kubali kuwa accountable kwa uliyofanya badala ya kumsingizia huyo dada eti kakutega.Umekua panya wewe ushindwe kuukwepa huo mtego?!Asante sana Nyumba Kubwa kwa kunielewa.Inaelekea wengi wanaochangia hawajaelewa mazingira ya kuomba msaada kwangu, nashukuru wewe umenielewa kabisa, na experience yako nitaichukua.Nasisitiza huyo dada sikusex naye kwa sababu nampenda la hasha , ila kwa sababu niliingia mtego na nika nasa.Vile vile kwa waliosoma juujuu huyo dada hana mimba.Tatizo langu ni huyo dada kunin'ang'nia kama luba kwa kunitumia vimsms na simu ambazo sizijibu.Sasa kwa urahisi wa wale ambo hawakuelewa, nimfanye nini?Siwataki ushauri ili mnihurumie kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo nyuma la hasha.Hili ni tatizo kubwa zaidi ukilitazama, kwa upande wangu kwa kuchezea maisha yangu huyu dada anchezea maisha yake.
Wana Jf:
Jamani, is it only to me or does this story sound like the other side ya ile thread ya "Natamani kujiua....................." to anyone else?????
This has got nothing to do with Pride,...........................hebu nikuulize, do you not see anything wrong your statement that kuachika, means nyumba ndogo kufaidika!!!!? If you do, then I rest my case. If you don't, then How about ukimwi which is as real as these cheating men whom you are failing to take into task? How does that play in all of this? No marriage, I repeat no marriage and/or man is worth anyone's life............. besides hiyo love unayoongolea hebu educate me as to how can one claim to still feel loved na mwanaume wake aliyekuwa na side dish for year plus, na mimba akampa!? Doesnt love, include respect, faithfulness and all that????
Comment to ulikutwa na niini hadi ukaogopa? Mwenzio mgeni sina hata wiki lakini naendelea kuchezea keyboard.Sort of. Mie si comment yasije yakanikuta kama yaliyonikuta jukwaa la sheria.
Asante sana Nyumba Kubwa kwa kunielewa.Inaelekea wengi wanaochangia hawajaelewa mazingira ya kuomba msaada kwangu, nashukuru wewe umenielewa kabisa, na experience yako nitaichukua.
Nasisitiza huyo dada sikusex naye kwa sababu nampenda la hasha , ila kwa sababu niliingia mtego na nika nasa.
Vile vile kwa waliosoma juujuu huyo dada hana mimba.
Tatizo langu ni huyo dada kunin'ang'nia kama luba kwa kunitumia vimsms na simu ambazo sizijibu.
Sasa kwa urahisi wa wale ambo hawakuelewa, nimfanye nini?
Siwataki ushauri ili mnihurumie kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo nyuma la hasha.
Hili ni tatizo kubwa zaidi ukilitazama, kwa upande wangu kwa kuchezea maisha yangu huyu dada anchezea maisha yake.
Dada kila mtu anaogopa ukimwi na hata kama unadhani mumeo si cheater anaweza kuwa bonge la cheater kwani wazoefu hawakamatwi. Na ukimwi unawapata wote walokwenye ndoa na wasio kwenye ndoa kwa hiyo kama ukimwi unauogopa saaana, solution si ku divorce tu ni ukae peke yako na u abstain.
Kama unadhani ukali na si busara ndio inarekebisha tabia ya mume well and good. I believe otherwise.
kuna utaratibu gani wa kufanya ili kufanikisha hilo?Block number yake kwenye simu unaweza kublock number fulani fulani, ukishindwa waulize service provider watakusaidia. Hana mana alikuwa anatafuta pa kupumulia sasa kakutana na mti mkavu. Ukishindwa kabisa badili number au ukiona itakucost usijibu msg zake hata moja na uendelee kuzifuta zisikutie maruweruwe, akipiga endelea na msimamo wako wa kutopokea mana mwisho wa siku atachoka tu mwenyewe.
Kingine ni kuwa uliruhusu shetani akutawale kwa kuruhusu mahusiano yawepo kati yako na yeye ilihali una mkeo, tubu fasta kwa hilo na usirudie tena, unajua kuna akina dada wanapenda mtelemko yaani akukute una kila kitu then ale bata tuuuu...
Huyo dada kingine sio mkaaji (mke wa kuoa) kwa jinsi alivojiexpose tabia zake ni za kiswahili na kichangu na anaonekana alikuwa na stress hivo anatafuta wa kumpunguzia. Shukuru Mungu kakuepushia balaa hilo vinginevo ungekuwa unajutia ndoa yako kuvurugwa na yeye.
kuna utaratibu gani wa kufanya ili kufanikisha hilo?
Always off topicMtego gani ulionasishwa?!Alikulewesha ulivyoamka ukakuta mlishamalizana?!Alikulazimisha?!Kubali kuwa accountable kwa uliyofanya badala ya kumsingizia huyo dada eti kakutega.Umekua panya wewe ushindwe kuukwepa huo mtego?!
Bi mdogo unaelekea balehe yako si ya siku nyingi.Mtego gani ulionasishwa?!Alikulewesha ulivyoamka ukakuta mlishamalizana?!Alikulazimisha?!Kubali kuwa accountable kwa uliyofanya badala ya kumsingizia huyo dada eti kakutega.Umekua panya wewe ushindwe kuukwepa huo mtego?!