Jamani nisaidieni-huyu dada ananipa presha.

Shida yetu waswahili ni kwamba, ikitokea binti amekupenda, basi urafiki lazima ufike kwenye mapenzi! Kwa nini jamani? Ona sasa, wewe si umeoa?? Ni kitu gani ulidhani ungekipata kwa huyo dada tofauti na kile unachopata almost siku zote? Tubadilike jamani, kama mtu atakupenda, mpe nafasi kama rafiki wa kawaida tu, forget about sex!
 
Ni kweli kabisa haya ,mambo kama hayajakukuta au kumkuta mume au mkeo ni rahisi sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. I was the same mpaka nilipo pata experience. Si rahisi hasa kwa wanawake kummwacha mumeo kisa amecheat ilihali kaomba msamaha, unless ndoa hiyo haiku base kwenye pendo la dhati.

Na hivi nilishajua kuwa kwa wanaume kutoka nje ya ndoa haina maana hampendi mkewe, hata nyumba ndogo inijie home kuharibu simwachi mume wangu n'go; unless nione kuwa mapenzi yamekwisha. Ila hizo tamaa za wanaume tutarekebishana tu.

Nyumba kubwa
Kwa hiyo kuwa na pendo la dhati, ni kuaccept infidelity ?I mean really!!!!!............................... I have said it before and I am going to say it again , men lacking consequnces for their stupid actions in marriages is what encourages and perpetuate hizi nyumba ndogo!
For instance situation kama ya huyu Majoja (sorry majoja ), ametoka huko nje ya ndoa, na mimba kampa msichana, thanks God its
just Mimba, What if angepata liuongonjwa huko then what?? Pendo la dhati my eyes!!!.....................................urghhh!!!!!!!!

Sidenote
Natoa wito kwa Wanawake wa JF, please these men need consequences!!!!!!!!!!!!!!!! Msiwe waoga to Draw a line and set precedence. Yes,
It's ok to forgive and want to stay in your relationships and/or marriages but please weigh out the risk vs benefit, na by benefit simaanishi material things i.e (nyumba, gari, au shopping mbili tatu) cause those are nothing compared to your precious life !!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu yangu wewe watu tunaishi kwa misamaha bila hivyo hamna ndoa ingebaki duniani! Mimi sina shida ya ela but I know divorce si solution maana utaacha wangapi dear. Na sikai kwenye ndoa sababu ya materal things kwani naweza kujitunza mimi na wanangu. Unadhani divorce ni suluhisho au hasira? Ndio ya kuachika na kwenda kuwa nyumba ndogo. Pride aijengi kwenye ndoa.

Na simaanishi mwanaume anacheat alafu unampokea with smile. Vurugu ni pale pale but as long I still feel love and loved simwachi!

I wish the world was so easy and uncomplicated.
Unfortunately it is not.
Ottherwise this contribution is radher naive.
Tukumbuke jamani kama maisha yangekuwa so straight foward, ukimwi usingekuwepo, na makanisa , misikiti ingekuwa redundant.
Hii experience ya jamaa is a social problem inayozidi kuongezeka nchini, na hata nchi zetu za kiafrika.
Nakubaliana kuwa hii leo ukiwa na nafasi kuna wanawake(sio wote) wenye shida wanakubali kwa nia moja kuwa nyumba ndogo ili wayakabili maisha.
This Majoja chap was about to fall into a social problem, na amelivuka.
Hilo la simu ni cha mtoto, akili kichwani mwako Majoja.
 
Ndugu yangu wewe watu tunaishi kwa misamaha bila hivyo hamna ndoa ingebaki duniani! Mimi sina shida ya ela but I know divorce si solution maana utaacha wangapi dear. Na sikai kwenye ndoa sababu ya materal things kwani naweza kujitunza mimi na wanangu. Unadhani divorce ni suluhisho au hasira? Ndio ya kuachika na kwenda kuwa nyumba ndogo. Pride aijengi kwenye ndoa.

Na simaanishi mwanaume anacheat alafu unampokea with smile. Vurugu ni pale pale but as long I still feel love and loved simwachi!

This has got nothing to do with Pride,...........................hebu nikuulize, do you not see anything wrong your statement that kuachika, means nyumba ndogo kufaidika!!!!? If you do, then I rest my case. If you don't, then How about ukimwi which is as real as these cheating men whom you are failing to take into task? How does that play in all of this? No marriage, I repeat no marriage and/or man is worth anyone's life............. besides hiyo love unayoongolea hebu educate me as to how can one claim to still feel loved na mwanaume wake aliyekuwa na side dish for year plus, na mimba akampa!? Doesnt love, include respect, faithfulness and all that????
 
Mmhhh! Hivi karne hii kuna watu bado wanang'ang'ania kupendwa hvyo! Pole sana aisee. Ulichomtendea hakikuwa kizuri hata hvyo, hakuna mwanamke anapenda kuchezewa tu halafu aachwe. Mwite uzungumze nae kikubwa hvyo unavyompotezea ndio unazidi kumpa hasira.
 
Ni kweli kabisa haya ,mambo kama hayajakukuta au kumkuta mume au mkeo ni rahisi sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. I was the same mpaka nilipo pata experience. Si rahisi hasa kwa wanawake kummwacha mumeo kisa amecheat ilihali kaomba msamaha, unless ndoa hiyo haiku base kwenye pendo la dhati.

Na hivi nilishajua kuwa kwa wanaume kutoka nje ya ndoa haina maana hampendi mkewe, hata nyumba ndogo inijie home kuharibu simwachi mume wangu n'go; unless nione kuwa mapenzi yamekwisha. Ila hizo tamaa za wanaume tutarekebishana tu.

Asante sana Nyumba Kubwa kwa kunielewa.Inaelekea wengi wanaochangia hawajaelewa mazingira ya kuomba msaada kwangu, nashukuru wewe umenielewa kabisa, na experience yako nitaichukua.
Nasisitiza huyo dada sikusex naye kwa sababu nampenda la hasha , ila kwa sababu niliingia mtego na nika nasa.
Vile vile kwa waliosoma juujuu huyo dada hana mimba.
Tatizo langu ni huyo dada kunin'ang'nia kama luba kwa kunitumia vimsms na simu ambazo sizijibu.
Sasa kwa urahisi wa wale ambo hawakuelewa, nimfanye nini?
Siwataki ushauri ili mnihurumie kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo nyuma la hasha.
Hili ni tatizo kubwa zaidi ukilitazama, kwa upande wangu kwa kuchezea maisha yangu huyu dada anchezea maisha yake.
 
Asante sana Nyumba Kubwa kwa kunielewa.Inaelekea wengi wanaochangia hawajaelewa mazingira ya kuomba msaada kwangu, nashukuru wewe umenielewa kabisa, na experience yako nitaichukua.Nasisitiza huyo dada sikusex naye kwa sababu nampenda la hasha , ila kwa sababu niliingia mtego na nika nasa.Vile vile kwa waliosoma juujuu huyo dada hana mimba.Tatizo langu ni huyo dada kunin'ang'nia kama luba kwa kunitumia vimsms na simu ambazo sizijibu.Sasa kwa urahisi wa wale ambo hawakuelewa, nimfanye nini?Siwataki ushauri ili mnihurumie kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo nyuma la hasha.Hili ni tatizo kubwa zaidi ukilitazama, kwa upande wangu kwa kuchezea maisha yangu huyu dada anchezea maisha yake.
Mtego gani ulionasishwa?!Alikulewesha ulivyoamka ukakuta mlishamalizana?!Alikulazimisha?!Kubali kuwa accountable kwa uliyofanya badala ya kumsingizia huyo dada eti kakutega.Umekua panya wewe ushindwe kuukwepa huo mtego?!
 
Wana Jf:
Jamani, is it only to me or does this story sound like the other side ya ile thread ya "Natamani kujiua....................." to anyone else?????

Sort of. Mie si comment yasije yakanikuta kama yaliyonikuta jukwaa la sheria.
 
Vijimambo! Ila angalia anaweza kufanya bonge la lipizo. Hakuna kitu kibaya kama kupenda ukakataliwa kibabe.
 
Dada kila mtu anaogopa ukimwi na hata kama unadhani mumeo si cheater anaweza kuwa bonge la cheater kwani wazoefu hawakamatwi. Na ukimwi unawapata wote walokwenye ndoa na wasio kwenye ndoa kwa hiyo kama ukimwi unauogopa saaana, solution si ku divorce tu ni ukae peke yako na u abstain.

Love ni respect ndiyo lakini jua huyo mume alokuoa ni kiumbe dhaifu. Kama hatacheat leo anaweza akacheat after 25 years of marriage it does not matter. Na anaweza asicheat. Tatizo ni kuwa huwezi kuusemea moyo kwani unaweza usijue anafanya nini na nani sasa hivi.

Nilipoolewa kila mtu alikuwa ananiambia kuwa I have a man with all qualities that a wife needs from a man including upole. Lakini baada ya miaka sita alicheat na kwangu ni ngumu kuamini kuwa kuna wanaume strong kama wapo ni wachache sana. Niliumia sana na ndugu zangu wakaniuliza if I still feel like staying with him kwani issue niliifikisha mbali. Well niliweza kupita majaribu and I am now proud of my decision of not leaving.

Kama unadhani ukali na si busara ndio inarekebisha tabia ya mume well and good. I believe otherwise.

This has got nothing to do with Pride,...........................hebu nikuulize, do you not see anything wrong your statement that kuachika, means nyumba ndogo kufaidika!!!!? If you do, then I rest my case. If you don't, then How about ukimwi which is as real as these cheating men whom you are failing to take into task? How does that play in all of this? No marriage, I repeat no marriage and/or man is worth anyone's life............. besides hiyo love unayoongolea hebu educate me as to how can one claim to still feel loved na mwanaume wake aliyekuwa na side dish for year plus, na mimba akampa!? Doesnt love, include respect, faithfulness and all that????
 
Sort of. Mie si comment yasije yakanikuta kama yaliyonikuta jukwaa la sheria.
Comment to ulikutwa na niini hadi ukaogopa? Mwenzio mgeni sina hata wiki lakini naendelea kuchezea keyboard.
 
Asante sana Nyumba Kubwa kwa kunielewa.Inaelekea wengi wanaochangia hawajaelewa mazingira ya kuomba msaada kwangu, nashukuru wewe umenielewa kabisa, na experience yako nitaichukua.
Nasisitiza huyo dada sikusex naye kwa sababu nampenda la hasha , ila kwa sababu niliingia mtego na nika nasa.
Vile vile kwa waliosoma juujuu huyo dada hana mimba.
Tatizo langu ni huyo dada kunin'ang'nia kama luba kwa kunitumia vimsms na simu ambazo sizijibu.
Sasa kwa urahisi wa wale ambo hawakuelewa, nimfanye nini?
Siwataki ushauri ili mnihurumie kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo nyuma la hasha.
Hili ni tatizo kubwa zaidi ukilitazama, kwa upande wangu kwa kuchezea maisha yangu huyu dada anchezea maisha yake.

Majoja:
Naomba nijitetee personally, regarding the bolded line above. I did read the whole story and do understand that mimba ilikuwa feki. However, the fact that you had accepted hiyo mimba feki iinaashiria that you two had never bothered with the rubber. So when you hear me , saying mimba mimba all im trying to do is to get my point accross kwamba in a situation like yours, women should beware that there are things like magonjwa to be afraid as well na sio ndoa tu!
 
Dada kila mtu anaogopa ukimwi na hata kama unadhani mumeo si cheater anaweza kuwa bonge la cheater kwani wazoefu hawakamatwi. Na ukimwi unawapata wote walokwenye ndoa na wasio kwenye ndoa kwa hiyo kama ukimwi unauogopa saaana, solution si ku divorce tu ni ukae peke yako na u abstain.

Kama unadhani ukali na si busara ndio inarekebisha tabia ya mume well and good. I believe otherwise.

Ukimwi ni ajali, wapo walojichunga sana hatunao. Wapo walojiachia kinoma bado wanadinda hadi Babu wa Loliondo kawakuta. .
 
Wanawake wakishapenda huwa wanakabidhi kila kitu kwa walompenda. Ni viumbe wa ajabu sana. Afya ya mwanamke iko mikonomi mwa mumewe / mpenziwe. Ni wachache wanaoweza kukataa kweenda bila kinga.
 
Dahhhh
Ni kama movie ya Nigeria
Pole sanaa.
Je umebadili number ya simu?
 
Block number yake kwenye simu unaweza kublock number fulani fulani, ukishindwa waulize service provider watakusaidia. Hana mana alikuwa anatafuta pa kupumulia sasa kakutana na mti mkavu. Ukishindwa kabisa badili number au ukiona itakucost usijibu msg zake hata moja na uendelee kuzifuta zisikutie maruweruwe, akipiga endelea na msimamo wako wa kutopokea mana mwisho wa siku atachoka tu mwenyewe.

Kingine ni kuwa uliruhusu shetani akutawale kwa kuruhusu mahusiano yawepo kati yako na yeye ilihali una mkeo, tubu fasta kwa hilo na usirudie tena, unajua kuna akina dada wanapenda mtelemko yaani akukute una kila kitu then ale bata tuuuu...

Huyo dada kingine sio mkaaji (mke wa kuoa) kwa jinsi alivojiexpose tabia zake ni za kiswahili na kichangu na anaonekana alikuwa na stress hivo anatafuta wa kumpunguzia. Shukuru Mungu kakuepushia balaa hilo vinginevo ungekuwa unajutia ndoa yako kuvurugwa na yeye.
kuna utaratibu gani wa kufanya ili kufanikisha hilo?
 
Mtego gani ulionasishwa?!Alikulewesha ulivyoamka ukakuta mlishamalizana?!Alikulazimisha?!Kubali kuwa accountable kwa uliyofanya badala ya kumsingizia huyo dada eti kakutega.Umekua panya wewe ushindwe kuukwepa huo mtego?!
Always off topic
Anyway watu tuna uelewa tofauti
 
Mtego gani ulionasishwa?!Alikulewesha ulivyoamka ukakuta mlishamalizana?!Alikulazimisha?!Kubali kuwa accountable kwa uliyofanya badala ya kumsingizia huyo dada eti kakutega.Umekua panya wewe ushindwe kuukwepa huo mtego?!
Bi mdogo unaelekea balehe yako si ya siku nyingi.
Kua uyaone.
 
Back
Top Bottom