- Thread starter
- #21
Okay, usijali hata kama hiyo one hour imeshapita na uko offline kwa sasa. Ukirudi online angalia katika PM, kuna job post nimeiona mahali na nimekuwekea huko.
asante sana kwa kunitumia hiyo post.nashukuru nitaifanyia kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, usijali hata kama hiyo one hour imeshapita na uko offline kwa sasa. Ukirudi online angalia katika PM, kuna job post nimeiona mahali na nimekuwekea huko.
Bint
NiPM CV yako ukiambatanisha na picha kuna jamaa najuana nao ofisi ya mipango pale!
sante ndugu yangu kwa ufafanuzi.I just want to expand a little bit on this. Infact this is a multidisciplinary program and she can do a variety of jobs my dear JF buddies.There is a growing lack of educated urban and regional planners, who are able to undertake analytical and design activities on local to national scale and implement sustainable development. They may formulate plans relating to the construction of new school buildings, public housing, or other kinds of infrastructure. Planners also may help to make decisions about developing resources and protecting ecologically sensitive regions. Some planners are involved in environmental issues including pollution control, wetland preservation, forest conservation, and the location of new landfills. Planners also may help to draft legislation on environmental, social, and economic issues, such as planning a new park, sheltering the homeless, or making the region more attractive to businesses. Urban and regional planners often confer with land developers, civic leaders, and public officials and may function as mediators in community disputes, presenting alternatives that are acceptable to opposing parties. Planners may prepare material for community relations programs, speak at civic meetings, and appear before legislative committees and elected officials to explain and defend their proposals. Kwa hiyo anaweza kufanya kazi nyingi sana pamoja na IT,Conservation,Business,Community Development,Social work,Microfinance,etc in Local Government, Central Government as well as the private sector. Good luck dada.
sina uhakika na malengo ya mkuu masalino lakini ni kweli sehemu nyingi siku hizi wanahitaji picha na hasa serikalini...asante nitakutumia CV ila picha sitaweza ndugu yangu kama kunisaidia mpaka nitume picha nisamehe.
mkuu ili kumtoa wasiwasi aende akawaone moja kwa moja na hiyo picha yake baada ya kumpm hizo contactsBint
NiPM CV yako ukiambatanisha na picha kuna jamaa najuana nao ofisi ya mipango pale!
Pole ila usikate tamaa hapa umefika la msingi usichukulie sana hili jambo too personal kutafuta kibarua ni changamoto tuu, ni pm na mimi CV yako nitaituma sehemu tofauti.Mimi nimsichana wa miaka 27 nimemaliza advanced diploma katika chuo cha mipango Dodoma,
Wakuu niemelekezwa nije huku nijiregsiter na kueleleza yote niniliyo nayo naweza saidiwa.
Kifupi mimi ndo mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili wote tukiwa wakike.baba yetu alifariki mwaka 2003 nikiwa bado nasoema certificate hapohapo dodoma,kwa bahati nimeweza maliza salama.
Baada ya kumaliza nimejitahidi kutafuta kazi inayohusiana na nilichokisomea lakini nimeambulia patupu,kwa kweli sina jinsi ila kwa kuwa nimesoma ninauhakika kazi yoyote naweza ifanya.
Hivyo waku nisaidieni. hapa niinapoaandika ni internet cafe nimelipia one hour tu.
Pole ila usikate tamaa hapa umefika la msingi usichukulie sana hili jambo too personal kutafuta kibarua ni changamoto tuu, ni pm na mimi CV yako nitaituma sehemu tofauti.Kifupi mimi ndo mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili wote tukiwa wakike.baba yetu alifariki mwaka 2003 nikiwa bado nasoema certificate hapohapo dodoma,kwa bahati nimeweza maliza salama.
Baada ya kumaliza nimejitahidi kutafuta kazi inayohusiana na nilichokisomea lakini nimeambulia patupu,kwa kweli sina jinsi ila kwa kuwa nimesoma ninauhakika kazi yoyote naweza ifanya.
Hivyo waku nisaidieni. hapa niinapoaandika ni internet cafe nimelipia one hour tu.
asante sana kwa kunitumia hiyo post.nashukuru nitaifanyia kazi.
Masa si ungesema tu akutumie picha yake mchezo uishe!! Hata mimi naitamani sijui ataniPm.
vp umepata tayari au bado.....tafadhari tupe updates.....
''mvumilivu hula mbivu.........ila mvundika mbivu hula mbovu''
Pole ila usikate tamaa hapa umefika la msingi usichukulie sana hili jambo too personal kutafuta kibarua ni changamoto tuu, ni pm na mimi CV yako nitaituma sehemu tofauti.
asante nitakutumia CV ila picha sitaweza ndugu yangu kama kunisaidia mpaka nitume picha nisamehe.
asante nitakutumia CV ila picha sitaweza ndugu yangu kama kunisaidia mpaka nitume picha nisamehe.
safi sana,
mwambie HUDANGANYIKIIIIIII!,![]()
ala.
siyo anataka picha yake, siku hizi ofisi nyingi za serikali ukituma application wanataka na passport size, ili siku ya interview asije mtu mwingine
Ur wrong!
Unaishi dunia gani wewe!
Joyceline
Umekuwa mkweli, sihitaji picha yake yeye kama yeye, kuna ufisadi sana siku hizi hasa kwenye secta ya ajira, unakuta anayeandika barua ya kuomba kazi ni Sikonge siku ya Interview anazuka Engineer! Hata vyuo vikuu siku hizi lazima uambatanishe na passport size zako ilikuepusha wengine kusomea vyeti vya wengine.
Jamani demu wa kwenye mtandao unaweza kuinvest mimi huchukulia kama ni scam tu, suppose akituma picha ya pretty ama Joyceline ndo nianze kumwaga sera ? watu wanaufinyu wa mawazo sana hapa. Sary umenidassapoint sana nadhani hata hiyo kazi niliyokupigia chepeto hutaiweza maana uwezo wako wa kufikiri nina mashaka nao sana.
All the best on your job search
Mzee Masa - Kyela
Ndugu zanguni ninafuraha kuwapata taarifa kuwa nimefanikiwa kupata kazi katika manisipaa moja nchini kama Afisa maendeleo ya mji.Hivyo wote mliojitokeza na kunitia moyo kweli nashukuru sana.Pia nashukuru kwa michango yenu mizuri milokuwa mnachangia ili kuhakikisha kilio changu kinatatuliwa.
Kwa kweli ni furaha isiyo nakifani.
Pia napenda kuchukuwa nafasi hii pia kumuomba msamaha ndugu yangu masanilo kwa kumkwaza na kumdisaapoint kwa jibu nililompa la kutomtumia picha.Kwa kweli sikujua kama siku hizi kama kuna watu wanafanya uhuni wa namna hiyo kwamba mtu anaitwa John kwenye interview halafu anaenda Abdallah.Lakini kwa kifupi hakuna kilichoharabika kikubwa nawatakia kazi njema na moyo kama huu mliouonyesha kwangu uendelee hata kwa watu wengine.
Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki JF na wanachama wake wote kuanzia ngazi ya member mpaka ya JF expert member.
Yours
Sarah