victor malson
Member
- Dec 22, 2012
- 7
- 0
mimi nlifanya mtihani wa form six kama private candidate mwaka jana nikafanikiwa kupata division 3 ya point 13 tatizo nilifeli GS nikapata F sasa sielewi kama nikifanya application ya kwenda chuo kikuu kama
watanichukua au mpaka nirudie mtihani wa GS?
watanichukua au mpaka nirudie mtihani wa GS?