Jamani nisaidieni kiushari.

Jamani nisaidieni kiushari.

victor malson

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
7
Reaction score
0
mimi nlifanya mtihani wa form six kama private candidate mwaka jana nikafanikiwa kupata division 3 ya point 13 tatizo nilifeli GS nikapata F sasa sielewi kama nikifanya application ya kwenda chuo kikuu kama
watanichukua au mpaka nirudie mtihani wa GS?
 
pole sana, ila mi nikutoa wasisi kuwa hlo sio tatizo kubwa, na hvyo haliwezi kukuzuia kwenda chuo. Kwanza kwanini hukufuatilia mchakato huo toka mwaka jana? Ukitazama Tanzania Commision for Universities(TCU) Guidebook, inasema kigezo kikubwa ni kupata angalau Principles 2(hii itategemea na chuo husika) yaani E and above katika yale masomo matatu ya comb yako. Hawajazungumzia mambo ya GS. Kukuthibitishia hlo, mimi nilipata tatizo kama lako na sasa nipo chuo.
 
Usiogope!! Kufeli GS haikuzuii kwenye chuo kikuu. Ili kukuthibitishia hilo, tafuta mwongopzo wa TCU (hata huku mtandaoni upo, japo utakuwa umepitwa na wakati). Nawafahamu wanachuo wengi waliofanikiwa kujiunga na chuo kwa kuwa walifaulu masomo ya msingi (walipata sawa au zaidi ya principal 2 na Subsidiary moja ). Labda TCU waje na masharti magumu mwaka huu, japo naamini haiwezekani. Tunakutakia kila la heri katika kuisaka elimu ya juu.
 
nashukuru sana ndugu yangu kwa kunipa moyo coz ni jambo lililokuwa linanitatiza kichwani kwa sababu nilifanya mtihani wa form 6 huku nikiwa chuoni nasoma ualimu level ya grade 3A. so nampango wa kuja kujiendeleza elimu ya juu.
 
pole sana, ila mi nikutoa wasisi kuwa hlo sio tatizo kubwa, na hvyo haliwezi kukuzuia kwenda chuo. Kwanza kwanini hukufuatilia mchakato huo toka mwaka jana? Ukitazama Tanzania Commision for Universities(TCU) Guidebook, inasema kigezo kikubwa ni kupata angalau Principles 2(hii itategemea na chuo husika) yaani E and above katika yale masomo matatu ya comb yako. Hawajazungumzia mambo ya GS. Kukuthibitishia hlo, mimi nilipata tatizo kama lako na sasa nipo chuo.

nashukuru sana ndugu yangu pamoja sana...........!!!!!
 
Usiogope!! Kufeli GS haikuzuii kwenye chuo kikuu. Ili kukuthibitishia hilo, tafuta mwongopzo wa TCU (hata huku mtandaoni upo, japo utakuwa umepitwa na wakati). Nawafahamu wanachuo wengi waliofanikiwa kujiunga na chuo kwa kuwa walifaulu masomo ya msingi (walipata sawa au zaidi ya principal 2 na Subsidiary moja ). Labda TCU waje na masharti magumu mwaka huu, japo naamini haiwezekani. Tunakutakia kila la heri katika kuisaka elimu ya juu.

asante ndugu yangu
 
asnte ndugu
 
Don't be shocked, my friend. Failing GS can't make you disqualified. I had plenty of colleagues who had the same problem but they're now graduates. Just imagine, one of them even didn't sit for that subject at all but he continued with his Higher Education as usual!
 
Back
Top Bottom