Ndugu zangu wanajamvi mimi nina umri wa miaka 31 nimeoa na nina watoto 3 ninatatizo ambalo limenikuta ukubwani la kuanguka kifafa huwa linanitokea sana usiku wakati nimelala na mara nyingine hata mchana niliwahi kwenda hospital nikapewa dawa aina ya TEGRETOL 200mg nikatumia kwa miezi mitatu nikawa sipati tena hilo tatizo lakini baada ya miezi 2 likarudia tena sasa sijui nifanyeje manake imebidi nizitumie tena hizi dawa naombeni ushauri wenu tafadhali nawasilisha
Una ugonjwa unaoitwa EPILEPSY..kwahio una hitaji matibabu na antiepileptics na ndio dawa ulopewa mwanzo ni KARBAMAZEPIN(TEGRETOL) ni chaguo la kwanza kuhusiana na ugonjwa huo au unaweza kutumia VALPROAT au LAMOTRIGIN(LAMICTAL)kutokana na aina ya epilepsy.Muhimu kutoacha kutumia dawa au lah utaendelea kupata epilectics seizures kwasababu hizo dawa ndio zinakukinga na kupata hizo seizures.
Hio dosage ulopewa ya tegretol 200mg ni initial dose(start dose) ambayo unatakiwa umeze once or twice a day.Ila after initilial dose,the dosage has to be increased gradtually to a maintainance dose ambayo ni between 800-1200mg per day or to some patients 1600-2000mg per day.Kwahio lazima uende kwa daktari uongezewe dosage ya hio dawa au ubadili upate hizo nyingine nilizotaja.
Tatizo ni kwamba sijui wewe uko kundi gani la epilepsy kwasababu epilepsy imegawanyika katika makundi mawili makubwa and several sub-groups.
Primary generalized seizures begin with a widespread electrical discharge that involves both sides of the brain at once. Hereditary factors are important in many of these seizure
Partial seizures begin with an electrical discharge in one limited area of the brain. Many different things can cause partial seizures, for example head injury, brain infection, stroke,tumor, or changes in the way an area of the brain was formed before birth (called cortical dysplasias). Many times, no known cause is found, but genetic factors may be important in some partial seizures.
Ili kupata matibabu ya uhakika lazima specialist achukue MR na EEG ya ubongo wako ili ajue una aina gani ya kifafa ili upate matibabu sahihi!