Jamani nisaidieni maana ishakuwa hatari!

Jamani nisaidieni maana ishakuwa hatari!

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
233
Reaction score
46
Wadau naombeni mwenye kujua dawa mbadala maana koo linaniwasha yapata wiki 2 bila kutulia japokuwa sijawahi kutumia dawa yyt ile afu natema makohozi kama nabanja wakati sibanji!sa cjui ni nini natanguliza shukurani zangu kwa wadau wote
 
Wadau naombeni mwenye kujua dawa mbadala maana koo linaniwasha yapata wiki 2 bila kutulia japokuwa sijawahi kutumia dawa yyt ile afu natema makohozi kama nabanja wakati sibanji!sa cjui ni nini natanguliza shukurani zangu kwa wadau
wote

Ni dalili za kifua kikuu. Ina maana hujui hospitali ?
 
Ni dalili za kifua kikuu. Ina maana hujui hospitali ?

ha ha ha ha ha Mfamaji jamani umenchekesha sana aisee,
we Mdau Mkuu nenda hospital bana au wasiliana na Ndodi atakwambia utumie asali, tangawizi,limau me cjui vizuri hizo dawa zake :smow:
 
hiyo ngoma inakuja kama TB mazee....chapa lapa mwananyamala au muhimbili...
 
Nashukuru wakubwa ni vyema niende hospital maana ishakuwa tabu!
 
Mdau me umri wangu miaka 26!yaani kwa jinsi koo linavyowasha nahisi mwaka huu piga ua galagaza ni lazima ning'oke,afu cha kushangaza nkikohoa kifua kinauma na kwenye koo!bt 2mr ngoja nkacheki afya yangu maana ishaanza kupwaya
 
hahahahahaha umenichekesha badala ya kukuhurumia teteteteteteh
Mdau mkuu pole maumivu yakizidi muone DR
 
Mdau we ni fundi sana wa kutumia TAFSIDA katika lugha!!!! Yaani dalili za kifo cha CCM umezielezea vizuri ajabu(maana zinafanana na dalili za mdudu kabisa, lazima ufe tu)...Ila umekosea umri wako bwana, naomba urekebishe.... hujawa mkubwa hivyo!!!!!

Thumbs up!!!!!!!!!!!!!!
 
Wadau naombeni mwenye kujua dawa mbadala maana koo linaniwasha yapata wiki 2 bila kutulia japokuwa sijawahi kutumia dawa yyt ile afu natema makohozi kama nabanja wakati sibanji!sa cjui ni nini natanguliza shukurani zangu kwa wadau wote

Inawezeka ni ugonjwa uloambukizwa na wale mabinti ulokuwa ukijisifu kuwa unao wengi hivyo huwezi kupiga punyeto. Nenda kapime afya hospital ili kujua nini kinachokusibu kabla ishu haijakuwa ngumu. Pitia agakhan ukacheki kansa
 
Mdau we ni fundi sana wa kutumia TAFSIDA katika lugha!!!! Yaani dalili za kifo cha CCM umezielezea vizuri ajabu(maana zinafanana na dalili za mdudu kabisa, lazima ufe tu)...Ila umekosea umri wako bwana, naomba urekebishe.... hujawa mkubwa hivyo!!!!!

Thumbs up!!!!!!!!!!!!!!

Kinyume chake pia ni sahihi, inawezekana anatabiri kifo mgombea wa urais kupitia chadema, maana baada ya kuukosa urais hapo oktoba 31, 2010 hatoonekana tena bungeni na wananchi watamsahau. In short atafirisika kisiasa

*************************************************
USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO
*************************************************
Ussiache CCM kwani mbachao yako. Usiichague Chadema kwani ni msala upitao, mwisho wake ni oktoba 31, 2010.

:welcome:,

Nenda uendako CCM ni :first:
 
Hapana Baba Mtu nilishaenda nkamueleza doctor amenipa PEN V kumbe nlikuwa na madonda kwenye koo sababu ya maji baridi!nashukuru sana wadau kwa ushauri wenu na kunipa moyo maana me kwa sasa nipo poa sana!
 
Wadau naombeni mwenye kujua dawa mbadala maana koo linaniwasha yapata wiki 2 bila kutulia japokuwa sijawahi kutumia dawa yyt ile afu natema makohozi kama nabanja wakati sibanji!sa cjui ni nini natanguliza shukurani zangu kwa wadau wote

sukutua koo kwa mkojo wako kila ukiamka kwa mda wa siku 9. Angalia jf doctor, kuna thread inahusu tiba ya mkojo.
 
Wadau naombeni mwenye kujua dawa mbadala maana koo linaniwasha yapata wiki 2 bila kutulia japokuwa sijawahi kutumia dawa yyt ile afu natema makohozi kama nabanja wakati sibanji!sa cjui ni nini natanguliza shukurani zangu kwa wadau wote[/QUOU

Umepata allergy ya dawa au chakula fulani au kitu fulani (perfume,sabuni nk).
Kama unachotema sio rangi ya njano,tafuta ( benlyn cough syrup) ambayo ni best (5,000/= tu),lakini ukitema makohozi ya njano inabidi umone mganga anweza kukupa (antibiotic na cough syrup)pole sana
 
Hapana Baba Mtu nilishaenda nkamueleza doctor amenipa PEN V kumbe nlikuwa na madonda kwenye koo sababu ya maji baridi!nashukuru sana wadau kwa ushauri wenu na kunipa moyo maana me kwa sasa nipo poa sana!

Asante mdau mkuu. Maji baridi sio kunywa ingawa watu wameyazoea
 
Back
Top Bottom