Jamani nisaidieni mnaoijua Kalangalala sec,Geita!

Kwenye kumbukumbu zangu,inaonyesha hii shule iko Kongo-kinshasa na sio tanzania.over
 
Kwenye kumbukumbu zangu,inaonyesha hii shule iko Kongo-kinshasa na sio tanzania.over

Acha mambo ya ajabu kama hukutaka kunisaidia si ungekaa kushoto? Mbona mnakosa hata moyo wa huruma jamani,mm nimeuliza kwa heshima na taadhma lakn ww sijui kw nn unakosa adabu kiac hicho,hv ww wa wapi? Kama ni mtu mzima nisamehe ila kiukwl huna adabu!
 

sasa kosa ni kukuambia hyo shule iko congo au?ndo ukweli wangu huo lakn mkuu,wat i know hyo shule iko congo na co tanzania.over
 
Hii shule ipo geita ni shule mpya kwa michepuo ya sayansi ila inaupungufu mkubwa wa walimu kwaiyo kazi ni kwako kijana
 
Ndio ina michepuo ya arts pia lakini ni shule mpya kwa mchepuo wa sayansi.hostel zipo

unamaanisha ni kongwe kwa upande wa arts? Vp kuhusu huduma ndogondogo,umeme,maji:vinapatikana? Je ipo karbu na town? Wanatumia sare gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…