ni pm nina ujumbe mahususi kwa ajili yako usiku wa leo..
Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia lakini nateseka sana.naomba ushauriwenu wana JF
Mwombe Mungu Akuepushe na hizo tamaa, zingatia sana kumwomba Mungu, kama wewe ni Mkristo Okoka kabisa, na kama ni mwangaliaji wa porn acha, piga zoezi, acha kuwaza sana mambo ya chumbani mliokuwa mkiyafanya wewe na mumeo(Punguza imaginations), jifunze kuishi kama mjane, vikizidi jikande na maji ya vuguvugu maeneo kupunguza mhemko.WAZO LA KUMSALITI MUMEO ACHA KABISA, OUTCOME YAKE NI MBAYA SANA.
Kwa tatizo lako linahitaji nikushauri face 2 face. niPM number yako nikutafute 2kae eneo 2livu ili nikushauri.
vumilia tu mpz wangu mana hilo jaribu ni kali sana mfano mm nikiwa mbali na mchumba wangu na nikimmisi sana ninachofanya ni kumpigia simu na kuongea naye sana au kama yuko online tunaongea through webcam so nikimuona na kuongea naye sana mnacheka then unasahau mauchungu so fanya ivo itakusaidia kuliko umsaliti mume wako mana akijua itamuumiza sana na pia hata ww kama unampenda sana itakua inakusuta kila siku mpaka utakonda kwa cri uliyobeba rohoni ya usaliti ok mamy....................kama utaupenda ushauri wangu utakusaidia okNilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia lakini nateseka sana.naomba ushauriwenu wana JF
hivi nyie midume mnatafuta nini kwenye hii thread,in my considered opinion,uzi huu ni strictly for women.