Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia lakini nateseka sana.naomba ushauriwenu wana JF