Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
khaaaaaaaaa nini?hutaki sasa?khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
khaaaaaaaaa nini?hutaki sasa?khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
kweli wewe madenge...!!!chemsha tango mama........
hata mimi nina matatizo kama wewe,ni pm basiNilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa sana na tamaa za mwili kiasi kwamba najikuta natamani kumsaliti mume wangu! nafsi yangu inanizuia lakini nateseka sana.naomba ushauriwenu wana JF