mimi kwa kweli mila za kipuuzi hizi nazipiga chini hata bil akuulizia. Hii ni haki ya msingi kwa mwanandoa, iweje bibie uteseke kwa miezi yote hiyo kwa kutopata 'conjugal rights zako??
plz plz hebu vunja huo ukimya zungumza na mumeo. vinginevyo utajikuta unafanya uamuzi mbaya sana kwa sababu kila kitu kina mipaka. kuna siku huo uvumilivu utakushinda ukaingia majaribu ya kutafuta pa kupoozea
B nakubaliana nawe kabisa kwamba mila nyingine zimepitwa na wakati. Hata haya mambo mke haruhusiwi kumuomba unyumba mumewe ni ya kizamani na hayastahili kabisa kuwepo katika dunia ya leo. Yaani mke anakata mwaka bila kuguswa na mumewe! na akimshamgusa hiyo mara moja baada ya mwaka anaweza kukata miezi sita au hata zaidi kabla ya kumgusa tena!!!! hiki ni kitu cha kushangaza sana, labda jamaa ana matatizo ya kiafya lakini hiki si kitu cha kawaida hata kidogo.
........Pole sana Safina, miezi 6-8 kitanda kimoja mke na mume hivi hivi bila mchezo mbona hilo jaribu kubwa sana. Hayo mambo kwamba mwanaume ndio aanzishe kutaka libeneke kila siku limepitwa na wakati. Changamka mdada, hebu muanze mumeo uone atarespond vipi, onyesha manjonjo yako shost usisubiri mumeo kuanza.
.......Miaka 16 kwenye ndoa mbona mtakuwa mmezoea sana tu.......sielewi kwa nini unaona haya kumwambia kwamba una hamu.Sielewi jinsi mnavyoishi ila mimi nipo wazi sana kwa mume wangu na mume wangu ndio rafiki yangu na mtani wangu kwa sana tu. Hivyo kama mnataniana wewe siku mwambie tu ukweli kuhusu ukimya wake kwenye tendo la ndoa. Usije kukutana mumeo labda ana matatizo ya nguvu za kiume ndio maana hana hamu ya tendo...........toa ukimya zungumza naye ujue tatizo nini.
hapa umeua MICHAEL JACKSON:ranger::ranger::ranger::ranger::ranger::ranger:safina, samahani naomba nikupe ushauri mmoja kabla sijaenda mbali; ukitaka fair advice, omba ushauri kwanza kwa wanaume kuhusu mambo ya mikasi!!... soma kitabu kimoja kinaitwa think like a lady, act like a man cha steve harvery. huyu bwana ana statement moja aliyoiweka which is very important --- anasema tatizo kubwa la wanawake ni kutaka ushauri wa matatizo ya ndoa kutoka kwa wanawake,,,, wanawake wote wote wanakua side moja.
hayo ya kusema kabila letu eti hatuombi kile kitu, huo pia ni uchemfu na siajabu ndicho kinachoboa huyo mwanaume...kumbuka wanawake anaokutana nao mtaani si wa kabila lenu therefore you should get out of the shell and be a wife and a life partner and not mke -kabila. learn what he likes, be what he dream of a womna
.... badilika, na muanze upya... communicate more, enjoy more and share more
kuwa aggressive, maana wanasema ushikwapo, shikamana
HAhaa imeshakuwa vuvuzela tena ..... ushauri mzuriwewe mdada hauko serious kabisa . dah! miezi 6 jamaa anakunyima vuvuzela na wewe bado haujaelewa tatizo ni nini? na unasemaga mshaishi miaka 16? hii kesi ni nzito kuliko rada ya mkapa.
chukua karatasi na kalamu na fanyia kazi haya,na ni muhimu sana kufuata hizi step kama zilivyo (una bahati sana kushauriwa na klorokwini).
1)weka mazingira ya kuvutia katika mwili wako(dress sexy),use your body language e.g tuning your voice.
2)Try to turn him on.e.g. jaribu ku whisper naughty talks in his ears, mkamate kamate yale maeneo ya 18 .etc etc
KAMA STEP HIZO 2 HAZIKUFANYA KAZI HAPO JUU INABIDI TUENDE KWENYE ALTERNATIVES ambazo ni negative sides za huyo mume wako.
3)jaribu kumuuliza kiupole kabisa ,je ana matatizo ya kiafya? akijibu yes ,shirikiana nae ili mkatafute suluhisho ,akisema NO, hapa itabidi uanze kuchunguza mwendo wa mume wako ,
4)je hajajiingiza kwenye mambo ya ushoga?
N:B. tatizo la nyumba ndogo mimi haliniingii akilini kwasababu mwanaume wa kweli hata kama atakuwa na nyumba ndogo lakini hawezi kukaa miezi sita bila kurembea dozi kwa bimkubwa.
dah! ama kweli dunia duara, yaani mimi waifu akihema tu gemu linaanzishwa samtaimu bila warm up,kumbe kuna wafuasi wanauchuna miezi 6? :help:
😛ound: ningekushauri lakini umeamua kuomba ushauri kwa wadada wenzako walioolewa nami ni mwanaume. nakuombea ili mungu akupe haja ya moyo wako kupitia kwa mr wako na si vinginevyo! kila la heri safina!
usijaribu kuingia kwenye ndo.!!!! ndo maana mimi bado nipo nipo kwanza!kwenye ndoa kuna nini jamani???
dada umejaribu kuongea na mumeo juu ya suala hili?
Pole sana aisee.....
wanawake kama nyie mnatakiwa kupewa uwaziri wa gender bila kupata ubunge!!!naona Nayeye mwanaume kachoka kuanza kila siku... hata yeye anataka ku-feel wanted and desired ...If you come to think of it...its not that hard to seduce a guy.... specially kama umeishi nae miaka yote hiyo...
Safina, ongeza utundu. Sijawahi hata siku moja kumuomba mke wangu wala yeye kuniomba. Huwa inakuja automatically tu. Sasa nashangaa kama wewe nyie mnalalaje hapa kitandani hadi mhitaji kuombana. Au hata kumshika au kumkumbatia hairuhusiwi kikwenu?