Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
....aah, huenda mumeo ni obese, au au nawe umejisahau ushapoteza mvuto. Huenda ana ugonjwa wa kisukari. hivyo kuathiri nguvu zake za kiume. Au, pengine tendo la ndoa baina yenu lilishaacha kuwa ni starehe, likapitia kipindi cha 'wajibu', na sasa hakuna mvuto tena kwake kuwajibika kwako.
Jaribuni kubadili mazingira, uwezo mnao...siku moja panga 'honeymoon' um surprise... hakikisha Ijumaa, jumamosi mpaka jumapili mnaitumia nyie wawili pekee hukooo kwenye fukwe za maraha,... Jipeni walau siku tatu mbali na familia, biashara na ajira zenu ambazo naamini zimechangia stress kwenye maisha yenu.
Inawezekana.